katiba mpya

  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Wapinzani walikwamisha upatikanaji wa KATIBA mpya

    Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya. UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji. Ile sherehe mliyofanya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inaitajika sasa, na muundo wa muungano urekebishwe uendane na mazingira ya sasa na yajayo

    Nadhani katiba ya Mgeleza Malikia Eliza kwa miaka takribani sabini sasa inatosha, ipo haja ya kuwa na katiba ya watanzania na si ya Mgeleza wala wanasiasa. Pia swala la muungano litazamwe upya kwa maslai mapana, aidha ya Tanganyika na Zanzibar au Tanzania. Kuchelewa au Kusimamisha lolote kati...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Tusitumie madai ya Katiba Mpya kumrudishia uhai wa Chama sio Matakwa ya Watanzania kwa sasa

    Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa. Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
  4. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Suala la muungano katika rasimu ya katiba mpya

    Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite..... Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali moja,mbili ama tatu... Jambo hili sijabahatika kuliona katika rasimu yetu au SIJAELEWA naomba mtaalam wa...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ya nini kama hii tuliyonayo hatuiheshimu?

    Mimi nimekuwa muumini wa katiba mpya tangu enzi na enzi. Kabla hata JF haijazaliwa. Niliamini hivyo kwa sababu unapobadili mfumo wa kisiasa, basi ni lazima pia ubadili sheria na taratibu zitazotumika kuuongoza huo mfumo mpya. Hivyo basi, ilipaswa tokea mwanzo, yaani 1992, tuliporudi tena...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

    Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni. Pesa zikapotea, muda ukapote. Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete...
  7. W

    JamiiForums Tanzania CCM ikitawala miaka 100 bado hatutopata Katiba mpya kwakuwa kila Rais anaamua atakavyo?

    Nasikitika sana, na ninakishangaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kujiona kuwa kina hati miliki ya nchi na wananchi. Eti CCM kinasema hakina mpango na Katiba mpya. Ambayo hata walio asisi hii nchi, akiwepo Mwalimu Nyerere alikiri kuwa hii Katiba siyo nzuri kwani inampa Rais Madaraka makubwa kiasi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya

    Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Vyeo ndiyo sababu ya UVCCM kutotaka Katiba mpya

    UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala na pia ni mifumo ya enzi za Nyerere ambako kulikosa na CHAMA NA SERIKALI, wakati huo ilikua ngumu...
  10. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na katiba mpya

    Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na furaha na nakumbuka. Nimeota viongozi wengi wa chama tawala (CCM) wakiwa wamekasirika baada ya Mbowe...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea nchini Tuanze tu kampeni ya kuboresha Magereza vinginevyo tuwe na katiba mpya

    Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa. Nchi za wenzetu wameboresha Magereza maana wanajua upo uwezekano bila hatia ukahama nyumbani kwako na kwenda...
  13. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba mpya, tuwe na subira. Hili suala halihitaji maandalizi duni

    Maoni yangu juu ya katiba mpya kama mnavyoniuliza; Serikali yetu ya CCM chini ya rais samia haijakataa rasmi katiba mpya; ni suala la msingi kwa Watanzania ndio maana ilianzisha mchakato wake wakati wa Rais Mstaafu Kikwete. Hili suala halihitaji maandalizi duni. Nawasihi tuendelee kumuunga...
  14. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kuogopa Katiba mpya, inawezekana ikawa ndiyo mwokozi wenu

    Habari wadau, CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu? Tumwombe Rais Mama yetu iundwe tume huru kila wilaya yenye mchanganyiko wa vyama vyote, hata kwa siku tatu waingie mitaani...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kuweza kupata Katiba Mpya

  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

    CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  18. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini madhara ya Katiba iliyopo mmeyaona, changieni kupata Katiba mpya

    Hakika inashangaza sana kwa viongozi wetu wa dini kukaa kimya juu ya suala la katiba mpya. Viongozi wa dini wameshuhudia matumizi mabaya ya katiba iliyopo yalivyofanywa na mwendazake. Watu wengi wameumizwa sana na katiba hiyo kwani mwendazake aliweza kuitumia atakavyo. Hayati baba wa taifa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA endeleeni kuelimisha kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya

    Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi. Ni wazo zuri na la kizalendo kwa kinga ya vizazi vijavyo. Ushauri wangu muondokane na agenda yakujinga kwa uchaguzi 2025...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
Back
Top Bottom