katiba mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  2. Tindo

    JamiiForums Tanzania Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

    Wadau tuangalie mjadala huo muda huu kuona nini kitajadiliwa na hawa jamaa.
  3. DustBin

    JamiiForums Tanzania Aliyeanzisha na kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM) ndiye atakaesimamia kukamilika kwake

    Moja kwa moja kwenye hoja kuu iliyobebwa na kichwa cha habari...! Wahenga wanamkumbuka aliyeanzisha/kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM). Ishara za wazi zinaonesha yeye ndiye atakaesimamia kusimika kwake au kukamilika kwake. Ijapokua uhusika wake sio wa moja kwa moja. Mungu ni mwema, ukifanya...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi ndivyo ATCL wanavyokuza uchumi wakati tukisubiri Katiba Mpya?

    Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili. Watu wapo na watoto wanaliaa, wengine tulikuwa tunaenda msibani tumeshachelewa, wengine wana biashara zao...
  5. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni umuhimu wa Katiba mpya kwa CCM na wananchi wasio na itikadi ya kisiasa

    Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa? Kwanini wanaCCM hawana mzuka na katiba mpya? Kwanini wananchi tusio na vyama hatuna maoni juu ya katiba mpya? Katiba...
  6. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Tuweke vyanzo vipya ili tuipate Katiba Mpya

    Kama Katiba Mpya haikuwekwa kwenye Irani ya chama chetu nashauri kwa kuwa KATIBA si Mali ya chama chochote kama nilivyosikia leo chama Fulani kinasema ni "Jambo letu na sisi ndo tume asisisi " hapana tunaomba swala KATIBA MPYA liwe letu sote na kama linafukuta kiasi hiki sasa tuliwekee...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tulipo, Uzoefu Utumike - Katiba Ipo

    Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi. Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake. Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Umuhimu wa Katiba Mpya

    Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions). 1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya nchi au ya Chadema? #Jibu: Mchakato wowote wa katiba ni wa kisheria na kisiasa. Katiba ni jambo...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya, CHADEMA sio pekee wenye wananchi

    Kwa namna Mambo yanavyoenda, viongozi wa CHADEMA wanazidi kukosa njia sahihi za kushughulika na maswala badala yake wanaendelea kuzidisha uanaharakati hata pale harakati zisipohitajika Kwa watu makini wanafahamu kabisa jambo bora hutokana na fikra tulivu zisizo na purukushani wala marumbano...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

    Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha. Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo. Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea (Hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president)...
  11. Page 94

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la Katiba Mpya ilikuwa ni ajenda ya CHADEMA?

    Wasalaam Wakuu!. Leo CHADEMA walikuwa na jambo lao waliloliita KATIBA DAY ambapo viongozi wao wakuu wa Chama pamoja na wanachama wao mashuhuri walihudhuria katika kongamano hilo. Suala la Katiba mpya ni lenye umuhimu kwa maslahi mapana ya taifa letu.. Lakini, tujitafakari! Hii ilikuwa agenda...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania HURUMA: Mdude Nyagali awatoa machozi wajumbe wa Kongamano la Katiba Mpya

    Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza Madawa ya kulevya , leo amehudhuria Kongamano muhimu la Katiba (Katiba day) ambapo wameonekana watu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

    Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi. Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
  15. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe. "Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
  16. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya sasa hivi ni sawa na kuchenji buku kwa njaa ya usiku mmoja wakati haujui kesho yako itakuwaje?

    Habari wanabodi! Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko. Taifa kama taifa linapitia katika kipindi kigumu sana, na hii katiba tunayolilia ni kama njaa ya...
  17. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jinsi viongozi wanavyotupiana katiba mpya kama kaa la moto

    Katiba mpya ni kama kaa la moto, haishikiki kila Rais aliyepita anamrushia mwenzake, nani atakubali kuleta katiba mpya ?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Katika kudai Katiba Mpya, tuwe na Katiba Day kila mwaka na iwe ile tarehe ambayo Mzee Warioba aliwasilisha maoni ya Wananchi juu ya Katiba Mpya

    Habari Wakuu, Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya. Siku hiyo ikifika kila...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Baada ya siku 100, mama hataki kubalisha Tairi (katiba mpya) anasubiri tufike kwanza

Back
Top Bottom