katiba mpya

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo

    Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba? Mnataka mchakato uendelee kuanzia wapi? Kama kuna aliyeharibu mchakato achukuliwe hatua gani? Vipi Raisi aliyeko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Urais wa Samia; Tumkunje angali mbichi

    Vipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa gharama yoyote (hili ni tatizo) Tatizo ninaloliona ni kuwa hii dhana ya ya tatu ya kutamani kukilinda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mama yupo sana sio wakati mzuri wa katiba mpya

    Mimi ni mdau ambaye natamani katiba mpya lakini sio wakati wake. Kwenye janga la Corona na baada ya kimpoteza Raisi huwezi kudakia katiba mpya maana watu watakuwa wanajadili wakiwa na matatizo mengi sana mengine vichwani. Ushauri wangu ni kwamba vitu ambavyo wanaweza kufanya bila katiba mpya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema kwamba, Katiba Mpya tunayoitafuta kwa nguvu nyingi haiwezi kutusaidia

    Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi. Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie kujibu maswali haya Ni kweli tumekuwa na katiba isiyokidhi matakwa yetu hususani katika mizania ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

    Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi. King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters Thousands of...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suala la Mikutano ya Kisiasa ni la Kisheria. Huwezi kuomba na kujipa mwenyewe ulichoomba, bila kukubaliwa na wale uliowaomba

    Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitarudi nyumbani ikiwa Rais Samia ataahidi kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani

    Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama. Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatuchanganya. Tunataka Katiba inayosimamia haki na sio Katiba Mpya. Kamwe Katiba hiyo haiwezi kutengenezwa na Wanasiasa

    Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao. Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TLP: Kudai katiba Mpya ni kuichonganisha Serikali, Katiba Mpya haipo kwenye ilani ya CCM

    HAIWEZEKANI Chama cha Siasa kuibuka na kusema kinataka masuala ambayo yapo kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wanachama waeleze changamoto katika jamii zinatatuliwa kwa njia gani? Umoja wa Vijana Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kupitia Mwenyekiti wa Vijana Taifa TLP, Eng.Aivan...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Suala la Katiba mpya kwa Mtazamo wa CCM

  11. P

    JamiiForums Tanzania Nipende Kuungana na Watanzania Wenzangu Wapenda haki Kudai Katiba Mpya.

    Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania. Moja kwa moja kwenye. Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni. Kama mjuavyo wengi tunaofutilia mambo nchini Tanzania. Kumeibuka vuguvugu la kudai katiba mpya Tanzania. Mimi...
  12. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya yote unayohangaika nayo kuyaweka sawa ni kutokana na Mwendazake kuona mapungufu yaliyopo kwenye...
  13. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Wagombea binafsi mpo?

    Habari Tanzania! Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za chaguzi za Kiserikali hususani kupitia siasa. Mfano; Wenyeviti wa vijiji/ Mitaa, Madiwani, Wabunge...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naungana na CHADEMA kwenye suala la kuitafuta Katiba Mpya, wakati wa Katiba Mpya ni sasa

    Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana. Kwanza swala la elimu halikuzingatiwa kabisa katika kuwapata viongozi mbalimbali. Dunia ya sasa...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tuwapuuze CHADEMA na suala la Katiba mpya, wana ajenda ya siri

    Nawasalimu katika jina la Chama cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee. Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na Chama Cha Mbowe (CHADEMA). Siku za hivi karibuni kumekuwa na kuhamasishana huko upande wa upinzani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia na Baraza la Maaskofu (TEC) walikuwa na kikao cha siri?

    Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC. Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini. Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za...
  17. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usianzishe mchakato wa Katiba mpya mpaka ujiridhishe usimamizi wa mchakato huu

    Wakuu, Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya. Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu ya mambo yahusuyo sheria na uendeshwaji wa nchi. Katiba ni mjumuisho wa taratibu, sera, sheria na...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli

    Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli.. Katiba katiba Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha. Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa. Dunia inaongozwa na wasomi na ndio maana ina maendeleo. Leo kuna ndege, meli, umeme, kuna magari...
  19. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania President Samia’s 100 days, a glimmer of optimism

    She took the office in top tore Mourning the untimely departure Of her friend and predecessor But remained calm, strong and firm Hit the ground running Right from the word go She showed leadership Heroic and courageousness Assured the doubting Thomases Though a woman by gender She was the...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Heri Rais Samia akaruhusu mchakato, asisubiri mashinikizo

    Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango (extent) tu. Ni dhahiri kuwa mchakato huu usiporuhusiwa kwa hiari, mashinikizo yatafuata. Huu ndiyo...
Back
Top Bottom