Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
Kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwamba Watanzania tunapaswa kupambana kupata Katiba Mpya ni kauli kubwa na yenye uzito mkubwa kisiasa.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
Kwa muda mrefu, madai ya Katiba Mpya yamekuwa...
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na...
Ripoti ya Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman iliyowasilishwa kwa Rais tarehe 23 Aprili 2026 imependekeza Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028, itumike katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029 na Uchaguzi Mkuu 2030.
Wengi tumeishia kwenye tarehe. Mimi nimesimama kwenye kifungu...
UKAWA na CCM walitutia hasara ya mabilioni baada ya kukwamisha mchakato wa kuandika Katiba mpya uliotumia mabilioni yetu ya fedha.
UKAWA na Mzee Warioba walitaka Muungano na serikali tatu na CCM walitaka serikali mbili za sasa. Kila kundi lilikuwa na hoja nzuri ila CCM walikuwa na hoja nzuri...
Kama ambavyo ilitokea kabla na katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, wenye misimamo ya vyama vyao ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi mkuu walipuuzwa. Nadahni ni muhimu sana kama taifa kusonga mbele katika utaratibu huo huo kwamba atakae suasia au kuja na mashariti ya chama chake kuelekea maridhiano...
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM wanataka Katiba yakuendelea kubaki madarakani nao makapuku wenzangu wao ndio hawajui chochote zaidi ni...
Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan.
Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema Katiba Mpya inayohitajika nchini inapaswa kulenga kutatua changamoto za wananchi, badala ya kuwa chombo cha baadhi ya viongozi kugawana madaraka.
Akizungumza Julai 10 wakati wa uwekaji wa jiwe...
Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja?
Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje?
JE alielawotiwa bikira itarudi?
Watuhumiwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026, amesema Kamati kuu ya Chama imepitia Bajeti kuu ya serikali ya mwaka 2026/2027 na kwamba haikisi maisha halisi ya Mtanzania, pia haijaweka fungu la gharama ya Katiba...
Kwa maoni yangu binafsi,
Sisi wananchi tuchague,wabunge,madiwani na wenyeviti serekali ya mtaa!
----
Wabunge wao ndiyo wawe na nafasi/ mamlaka ya kupiga kura kwa kumchagua rais wa Jamhuri,hili limekaaje?
-----
Vita vya kufa na kupona vitakuwepo kwenye nafasi ya ubunge! Ambayo ndiyo ngazi ya...
Nimekumbushwa huu wimbo wa Mabepari walia kukatiwa Mirija. Wqlipotangaziwa azimio la Arusha.
Mafisadi wa CCM na Chawa wao ndivyo watalia ikitungwa katiba mpya.
Katiba mpya yaja, Poleni Machawa wote.
Mafisadi na wasioitakia mema Nchi wamejitahidi kupinga katiba Mpya ila imeshidikana sasa ni...
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana.
Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
katibakatibampya
kisa
kiswahili
kuandamana
maandamano
maandamano ya katiba
makonda
marufuku
mpya
paris
paul makonda
tanzania
tanzania maandamano
ufaransa
Kauli Moja ya LISSU kwa US na EU na Dunia ndio pekee itakayowaokoa!.
Mimi sielewi mmepigwa Upofu wa aina gani Kiasi hasikiii Wala Kuona !!.
Mnajijua Mmeua MAELFU kwa MAELFU.
Mnajijua mnavita dhidi ya Kanisa KATOLIKI .
Mnajijua mnavita dhidi ya CHAMA KIKUUU cha Siasa Nchini, Chama...
"Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche...
Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha.
Katiba mpya sawa .
Mnazunguka kudai katiba mpya.
Kwenye madai kuna pande 3 .
1. Mdai
2.Mdaiwa
3.Msuluhishi, mpatanishi, mwamuzi.
Nambari tatu si lazima.
Huyu mdaiwa wa katiba mpya ni...
Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa.
Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa vitendo vya ukatili vya askari hawa wa maliasili ni hatari zaidi ya polisi. They kill randomly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.