katiba mpya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kuunga mkono mamlaka ya umma kwa kubadilsiha sheria hizi

    Nianze kwa Istilahi hii ngeni. Mamlaka ya Kiraia. istilahi hii inapaswa kuwa ndio mwelekeo wa Watz wanaporefer maana ya Serikali. kwani kunekuwa na upotofu kuwa Serikali ni Watendaji wa Serikali. Hapana. Serikali ni sisi raia tunsotengeza mamlaka ktk nchi za kidemokrasia. Maana hii...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kagoda,Deep green, Escrow,Richmond,ubinafsishaji wa bandari,mikataba mibovu kwenye madini,utekaji na mauaji,CCM haiwezi kukubali katiba mpya kamwe

    CCM kukubali katiba mpya ambayo italeta tume huru ya uchaguzi ni kujisogeza kaburini hii ni kutokana na hali halisi ilivyo na mwamko wa wananchi hasa vijana Katiba mpya itaifanya CCM isikae madarakani zaidi ya miaka kumi na tano toka mwaka itakapoanza kutumika. CCM ikipoteza hatamu hapo kila...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kuunda kikosi kazi cha maoni ya Katiba Mpya. Hawa wajumbe mmezingatia uwiano mzuri wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wajumbe wa kamati ya Maoni ya chadema Dk. Rugemeleza Nshala Wakili Deogratius Mahinyila Wakili Ali Ibrahim Suzan Lyimo Ruthy Moleli Pamela Maasay Wakili Gaston Garubindi Zeud Mbano Boniface Jacob (maarufu Boni Yai) Wakili Mpale Mpoki Wakili Jeremia Ntobesia Nimeanza na pongezi maana hii...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ingekuwa Jibu, Kenya wasingelia tena na ufisadi, tatizo ni watu

    Kama ukiweza kuipata na kuisoma KATIBA YA KENYA utagundua kuwa ni moja ya KATIBA makini zinazojitosheleza kwenye kila nyanja za KITAIFA katika zama hizi. Tatizo la Afrika Mashariki, hususan Kenya, mara nyingi limekuwa likihusishwa na ufisadi. Wazo la Katiba Mpya lilionekana kama suluhisho la...
  5. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Nashauri katiba mpya wapewe watu wa Zanzibar waiandike kwa niaba ya Tanzania, ni watu wakarimu sana

    Badala ya kusimamiwa na majaji wa Tanzania bara kama ilivyo kwa warioba na majaji waliotangulia, hii ya sasa tuwape wa Zanzibari hakika watatuletea katiba iliyojaa haki kwa kila upande wa muungano wetu wazanzibari ni watu wakarimu sana wapenda haki na utawala wa sheria
  6. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bajeti ya Katiba Mpya haipo kwenye bajeti Kuu

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema serikali itoe majibu kwanini bajeti ya Katiba mpya haipo kwenye Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa bungeni. Aidha, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla...
  7. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaunda Kamati Maalum ya Upatikanaji wa Katiba Mpya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027. Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni 2026, John Mnyika Katibu Mkuu wa chama hicho amesema kuwa kamati kuu imeunda Kamati hiyo yenye wajumbe...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza operesheni Katiba Mpya, Free Lissu Kanda za Kusini, Nyasa, Magharibi

    Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18 na kukamilika Juni 29, 2026 Kanda ya Magharibi. Soma Pia; CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ina maana aliwadanganya Watanzania kuwa ndani ya siku 100 suala la katiba mpya litaanza kushughuliliwa? Alikuwa na wenge baada ya matukio ya Oktoba 29

    Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa. Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya. Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: CHADEMA kila siku Katiba Mpya, Katiba Mpya inatuletea Ugali mezani? Wananchi wanataka hoja, siyo malalamiko

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutakwenda Kila Wilaya, Wasipotusikiliza Tutaitisha Maandamano nchi nzima hadi mtoto atatoka na tutakiwasha vibaya sana

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema watafanya mikutano kila Wilaya nchi nzima na kama serikali isipowasikiliza wataitisha maandamano nchi nzima na watakiwasha sana siku hiyo. Tulisema no reforms na tulisimama hapo na sasa hivi tunawaambia tunataka katiba mpya, tunataka katiba mpya. Tunazunguka...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Mkumbo: Mchakato wa Katiba Mpya utaendelezwa ulipoishia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es Salaam 31 Mei, 2025 amesema; "Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya si mali ya Chama chochote cha Siasa bali ni mali ya Wananchi

    Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni ya Watanzania na Si ya CCM, CHADEMA, Waislam, Wakristo, Simba au Yanga. Anasema ni kama tunaanza...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kahama: CHADEMA yaunguruma, Moto wa Katiba mpya wasambaa kila mahali, Maelfu ya Wananchi Wafurika, viwanja vyazidiwa

    Bila kujali Mauaji ya Octoba 29, Wakazi wa Kahama wamefurika kuwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye kampeni kabambe ya Katiba mpya na Free Lissu Kama kawaida Mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea uhondo Usiondoke JF https://www.youtube.com/watch?v=B1Ygb_BQNMc
  15. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Katoro Geita imeitika Wimbo wa Katiba mpya

    Hawajasombwa na wametangaziwa siku moja, wamefurika.
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa Maridhiano ya Amani kitaifa, Kuelekea Mchakato wa Katiba Mpya

    My friends, ladies and gentlemen, Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea kuimarika na kushamiri vyema sana, na hiyo inatoa nafasi na fursa kwetu sisi sote kama familia ya...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni hoja ya isiyofaa kupendekeza rais Samia aongezewe muda kukaa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.

    Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi. Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri ilishaweka kile ambacho watanzania wanakihitaji. Yaani katiba ambayo itakidhi mahitaji ya Watanzania. Ambao...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya imuongezee Dr. Samia Suluhu walau miaka minne 4 ya ziada ili asimamie utekelezaji wake kabla ya Rais mpya kuingia madarakani

    Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo. Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2034, baada ya kutupatia katiba mpya na...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili za kutaka kumwongezea muhula wa tatu katika Katiba Mpya ya mwaka 2028 ili kukwepa uwajibikaji baadaye

    Wameanza kutest mitambo. ============== Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamependekeza kufanyika kwa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ili kumpa nafasi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuendelea kuiongoza Zanzibar zaidi ya ukomo wa mihula...
Back
Top Bottom