Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani .
Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tunapaswa Kubadilisha katiba ili Rais Samia apate nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza Muda wake 2030. Hii ni muhimu ili kulipa Taifa nafasi na fursa ya kutumia Maono yake makubwa katika kulipeleka Taifa mbele zaidi pamoja na...
Hivi mnadhani CCM hawataki mabadiliko? Aaahhh wapi!
Waliotengeneza ilani ya CCM waliona mbali, wameenda mbali si tu kurekebisha sheria za uchaguzi, CCM imeahidi kutupilia mbali katiba ya sasa na watakuja na katiba mpya! Acha kuhangaika na ka sheria kamoja ka uchaguzi, CCM wanatupa injini yote...
Waswahili husema sikio la kufa huwa halisikii dawa, na wakasema pia Kenge hadi damu zitoke masikioni na puani ndo asikie kipigo. Ni wazi kabisa viongozi wa CCM wamechanganyikiwa na bado hawaamini kuwa wananchi ndo wameshaliamsha hivo. Hapa tulipofika ni lazima mabadiliko katika tume ya uchaguzi...
Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??.
Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku wakitoka Kwa Dola ,watawajibishwa !!.
Hivi Mafwele atakua wapi kuacha CHADEMA ICHUKUE Nchi?.
Akina...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia na kukabidhi kwa vyama vya siasa kabla hawajaandaa ilani zao.
Ngurumwa amesema kuwa Ilani ya...
Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30 Mei, 2025.
Soma hapa Ilani > Ilani ya CCM 2025-2030
https://www.youtube.com/watch?v=yXnzuEg-DLk...
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
Tume imezunguuka nchi nzima, bunge likaundwa, watu wakala posho, wengine wakasumbua kichwa kuandika na kutoa maoni, amd them ni kama vile mchakato ushatupwa, WHYYYYY?
Pesa za umma
Hajaliwi aliechuma
Wanaokula wana njama
Kama huamini, uliza father Kitima.
Ama Tundu Lissu, gerezani alikokwama...
Kwa sasa Uchaguzi Mkuu umekaribia na bado miezi kama sita tu ambapo hakuna namna yeyote mabadiliko yanaweza kufanyika. Hivyo naomba Mamlaka kufanya yafuatayo mara tu baada ya Uchaguzi mkuu Oktoba, 2025.
(1) Mamlaka ichukue jukumu la haraka kuandika Katiba Mpya ambayo imepigiwa kelele sana na...
Kinachotakiwa sasa kuwekewa mkazo sio tu katiba mpya ni mifumo ya kiuchaguzi bali na jeshi jipya, haiwezekani leo hii jeshi linauwa raia wasio na hatia bila huruma alafu alichukuliwi hatua zozote za kisheria lazima kuwe na mabadiliko kwenye jeshi la polisi
Hizi ndio sera za CHADEMA wanazo zihubiri katika majukwa Yao Kwa zaidi ya miaka kumi Sasa
Katiba mpya
CHADEMA wanaamini kwamba katiba mpya itakuja na uwepo wa serikali tatu hivyo katika hizo serikali 3 na wao wanaweza kupata japo Moja
Tume huru ya uchaguzi
CHADEMA wanahisi Huwa wanaibiwa...
Kama ni Sufuria ya Ugali imebandikwa, Maji Kwa Sasa yameanza Kuchemka .
Ni sisi wa Kuamua, Je tukoroge Uji kwanza ndio tusonge Ugali au Tuweke Unga tuendelee kusonga.
Kwangu Mimi nashauri Tuweke Unga tuendelee Kusonga Ugali .
Tukiacha VUGUVUGU hili likapoa, Basi haitotokea Tena muda ambao...
Naomba niwaulize wale ambao wanasema muda hautoshi wa kufanya reforms, je, wapo tayari kwa reforms na katiba mpya kwa ujumla hata kwa baadae baada ya uchaguzi wa mwaka huu? Hii ni kwa sababu CCM wanasema kwa sasa muda uliobaki hautoshi na hawataki kuongezewa muda wa kukaa madarakani ili wafanye...
ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo.
Uchawa kwenye mamlaka...
Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote
Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki.
Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya...
Helow!
Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka.
Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
Unapoitazama nchi ya Rwanda leo huwezi kuamini kwamba kuna wakati ilitawaliwa na Wahutu tangu ilipopata uhuru mwaka 1962.
Nchi hiyo iliyokuwa koloni la Ubeligiji ilipata uhuru wake na kukabidhi kwenye utawala wa kiraia chini ya Rais Gregoire Kayibanda aliyekuwa mwanamapinduzi kupitia vuguvugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.