katiba mpya

  1. W

    JamiiForums Tanzania CCM ikitawala miaka 100 bado hatutopata Katiba mpya kwakuwa kila Rais anaamua atakavyo?

    Nasikitika sana, na ninakishangaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kujiona kuwa kina hati miliki ya nchi na wananchi. Eti CCM kinasema hakina mpango na Katiba mpya. Ambayo hata walio asisi hii nchi, akiwepo Mwalimu Nyerere alikiri kuwa hii Katiba siyo nzuri kwani inampa Rais Madaraka makubwa kiasi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya

    Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Vyeo ndiyo sababu ya UVCCM kutotaka Katiba mpya

    UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala na pia ni mifumo ya enzi za Nyerere ambako kulikosa na CHAMA NA SERIKALI, wakati huo ilikua ngumu...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na katiba mpya

    Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na furaha na nakumbuka. Nimeota viongozi wengi wa chama tawala (CCM) wakiwa wamekasirika baada ya Mbowe...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea nchini Tuanze tu kampeni ya kuboresha Magereza vinginevyo tuwe na katiba mpya

    Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa. Nchi za wenzetu wameboresha Magereza maana wanajua upo uwezekano bila hatia ukahama nyumbani kwako na kwenda...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba mpya, tuwe na subira. Hili suala halihitaji maandalizi duni

    Maoni yangu juu ya katiba mpya kama mnavyoniuliza; Serikali yetu ya CCM chini ya rais samia haijakataa rasmi katiba mpya; ni suala la msingi kwa Watanzania ndio maana ilianzisha mchakato wake wakati wa Rais Mstaafu Kikwete. Hili suala halihitaji maandalizi duni. Nawasihi tuendelee kumuunga...
  8. JamiiForums Tanzania CCM acheni kuogopa Katiba mpya, inawezekana ikawa ndiyo mwokozi wenu

    Habari wadau, CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu? Tumwombe Rais Mama yetu iundwe tume huru kila wilaya yenye mchanganyiko wa vyama vyote, hata kwa siku tatu waingie mitaani...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kuweza kupata Katiba Mpya

  10. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

    CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini madhara ya Katiba iliyopo mmeyaona, changieni kupata Katiba mpya

    Hakika inashangaza sana kwa viongozi wetu wa dini kukaa kimya juu ya suala la katiba mpya. Viongozi wa dini wameshuhudia matumizi mabaya ya katiba iliyopo yalivyofanywa na mwendazake. Watu wengi wameumizwa sana na katiba hiyo kwani mwendazake aliweza kuitumia atakavyo. Hayati baba wa taifa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA endeleeni kuelimisha kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya

    Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi. Ni wazo zuri na la kizalendo kwa kinga ya vizazi vijavyo. Ushauri wangu muondokane na agenda yakujinga kwa uchaguzi 2025...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba ya Chama chetu haifai na hatuna legitimacy kudai katiba mpya ya JMT

    Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake. Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea. Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kung'oka. Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.
  16. JamiiForums Tanzania Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  17. JamiiForums Tanzania Niseme tu Katiba Mpya tusubiri miaka 100 mbele, kizazi hiki hakina uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya inayodaiwa

    Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo 1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya ni kupoteza fedha na muda kwa sababu sisi kama nchi bado hatuna uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kosa la kustahili kutekwa kudai Katiba mpya Tanzania?

    Katiba ya inchi ni makubaliano au utaratibu unaowekwa na wananchi wote namna gani taifa lao litawaliwe. Content kubwa ya katiba iliopo tume rithi kutoka katiba ya ukoloni. Wakati wa uongozi wa awamu ya nne ya Urais chini ya mweshimiwa Rais Kikwete kulianzishwa mchakato wa katiba mpya. Bahati...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kero za Muungano, Zanzibar wanapaswa kutumia nafasi ya uraisi wa Samia kuweka msukumo wa kupata Katiba mpya, la sivyo imekula kwao!

    Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…