Shida ipo wapi mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,934
3,805
CCM kama hamna nia ya leo kukubali mabadiliko ni bora mkajiuzulu ili wanaoweza kutekeleza azma ya kuipatia nchi hii KATIBA MPYA inayokubalika kwa Nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar ni watimize kuileta tunu hii. Shida ipo wapi? Mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja?

Hii Katiba iliyopo inawabana wengi na pia haifuatwi na CCM (Chama kilichopo madarakani), sasa ubaya mtaupata au kuuona pale siku itapotokea mkashindwa uchaguzi iwe kwa hiari au kwa nguvu za umma. Hapo maji mtaita mee.
 
Unatishia wakati huna dola.
Chama dola
Chama dume
Hujasikia miaka 100 tunajipanga.
 
Unatishia wakati huna dola.
Chama dola
Chama dume
Hujasikia miaka 100 tunajipanga.
Maneno kama hayo ya kuandika "huna dola" ungeanza kwa kumuuliza Cyril Ramaphosa na wale viongozi wootee waiopitiwa na Arab springs!Huwa mnawaza nini ninyi viumbe?Unamjua binadamu akibadilika na ukichaa umuingie kidogo tu kichwani?
 
Back
Top Bottom