katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iondoe hili suala la CAG kuisomea ripoti Serikali ikiwa wao ndiyo wana makosa mengi

    Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report. Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ifafanue uwezo, sifa na elimu za Wakuu wa Wilaya na Mikoa

    Kuna vituko huko mikoani. Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu. Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonesha uwezo, sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa. Niwatakie mchana mwema.
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kagera, Gratian Mkoba atangaza Vipaumbele 6, imo Katiba mpya na Kikotoo

    Siku moja baada ya kuchaguliwa uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera, bosi wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba amesema ataanza na mambo sita ikiwamo kuamsha ari ya wanachama wa chama hicho. Mengine amesema ni masuala ya kikokotoo, Katiba mpya, Tume huru, bima ya afya na...
  4. JamiiForums Tanzania Haki ya Kufa kwa Heshima: Wito kwa Sheria ya Haki ya Kufa kwa Heshima nchini Tanzania

    Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity). Katika uwanja wa haki...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanasiasa ni kosa kuidai Katiba Mpya?

    CCM:wanaodai katiba mpya ni wanasiasa ili waingie madarakani. Wapinzani:CCM wanabaki madarakani kwa kwa kutumia katiba hoi mbovu. Sasa swali ni je,kuwa upinzani kunawaondolea haki ya kuwa kundi muhimu kudai katiba mpya? Je, wanasiasa wanaopinga uwepo wa katiba mpya kwa nini wajipe umuhimu?
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania hawataki utawala wa haki na Sheria. Matendo yao ndiyo yanathibitisha. Binafsi sioni umuhimu wa katiba mpya, hii inatosha

    Habari za asubuhi! Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
  7. JamiiForums Tanzania Papa na Vatican wataja maeneo ambayo kanisa la RC wanafanya katiba mpya, bandari na tume yauchaguzi hayamo

    Pope Francis meets with President of Tanzania Pope Francis holds an audience with President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania, expressing their joint commitment to promoting peace in the world. By Deborah Castellano Lubov Pope Francis received the President of the United...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha Katiba Mpya isipitishwe 2014?

    Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa. 1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane? 2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane? 3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya Katiba Mpya tupige kura kuhusu hatima ya Muungano

    Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bila katiba mpya nzuri, wawekezaji watatukimbia!

    Bila katiba nzuri wafanyabiashara ambao mnakaa na kuona katiba haikuhusu unajidanganya kwa sababu hii hapa ya msingi. 1. Kwanza maandamano ya juzi sio kwamba serikali ilipenda bali umma umepata nguvu zaidi na viongozi wa upinzani wako serious sana. 2. Wamesema “watakinukisha” maana yake ni...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nadhani Maandamano ya kudai Katiba MPYA yana tija zaidi kuliko kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala . Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu . Chama chochote kikisha ingia madarakani...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama itapendeza uchaguzi usogezwe mbele na Rais apewe muda ili tupate Katiba Mpya

    Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maanadamano yasiyoifanya Katiba Mpya kuwa ni ajenda kuu ni maandamano ya wasaka vyeo

    Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji. Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo mawili yanayoleta mjadala wote wa Katiba Mpya

    Jambo la kwanza ni torture. Utesaji wa inmates ambao unafanywa na polisi pamoja na TISS. Kumkamata mtu na kumweka mahabusu au kumweka jela haionekani kwamba ni adhabu ya kutosha kuwashikisha adabu watu. Jambo la pili, watuhumiwa wa uhalifu wakati mwingine wanalawitiwa huko jela,kama sehemu ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi: Maridhiano ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote

    Salaam ,shalom!! Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk. Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, maslah ya Wananchi yapo katika kutofautiana Kwa HOJA kuongeza Kasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mnyika kutoa somo la Katiba Mpya kupitia clouds Media

    Taarifa yake hii hapa . Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
  18. E

    JamiiForums Tanzania Dira ya maendeleo 2050 na Katiba Mpya

    Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pengine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa). Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango ya maendeleo ya muda mrefu ni muhimu ili kujenga uelewa wa pamoja wa nini tunahitaji na wapi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

    Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Suala la Pauline Gekul, CCM ina taratibu na kanuni zake kuanzia Ngazi ya Tawi, hivyo kama likifika Taifani tutalitolea taarifa

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…