kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mahojiano kati ya Jaji Sinde Warioba na Jenerali Ulimwengu atuwekee hapa please

    Mwenye fill interview atuwekee hapa please
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa na 10m Leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi? Kufungua pharmacy AU duka la hardware AU kununua kiwanja? Kipi bora?

    Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
  3. J

    JamiiForums Tanzania Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni

    Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni. Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha: Barabara ya Lamara ni mbovu kwa muda mrefu sana, Wanasiasa kila mara wanaitumia kwenye kampeni bila kuitengeneza

    Barabara ya Lemara imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu, licha ya kuwa kila kipindi cha uchaguzi baadhi ya wagombea wa udiwani wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya kampeni na kuahidi kuiboresha. Hata hivyo, hadi sasa hakuna hatua za maana zilizochukuliwa kuboresha barabara hiyo. Mara kwa mara...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya UKIMWI na Kisukari upi ugonjwa mbaya zaidi?

    Upi ugonjwa mbaya zaidi kati ya magonjwa haya mawili yanayochangiwa na mtindo wa maisha zaidi? UKIMWI au Kisukari
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa lugha, ipi ni sahihi kati ya "aliyemaliza nafasi ya pili, mshindi wa pili au mshindwa wa pili"?

    Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi. Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje? Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”? Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
  9. JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni kati ya tamasha la Simba na Yanga lipi limekuwa tamasha bora kwako?

    Mimi kwa upande wangu yamekuwa bora yote
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati - Arusha na maeneo ya Njiro barabara mbaya kama yupo kijijini

    Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini. Usafiri wetu ni mkubwa Bajaj kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Wakati maeneo mengine kama...
  11. JamiiForums Tanzania Mtandao wa kigaidi wa Iran huko Mashariki ya kati!!

    Iran haikujenga himaya yake ya uwakilishi usiku kucha. Ilitumia miongo kadhaa ikifanya hivyo huku sehemu kubwa ya nchi za Magharibi zikiangalia upande mwingine. Huku serikali za Magharibi zikizingatia mijadala ya kisiasa na kitamaduni ya ndani, Iran iliwapa silaha Hezbollah, Hamas, Houthi...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Mabadilishano kati ya elimu bure na huduma ya Afya bure, elimu tulipie, huduma ya Afya ndio iwe bure

    Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Miezi 11 Bila Mshahara Chuo cha Afya Mvumi (MIHS) kilichopo Dodoma, Serikali Iingilie kati

    Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu. Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Niwekeze wapi kati ya hisa au ardhi?

    Siku mmoja tulipa mgeni kutoka wataalamu wa mambo ya uwekezaji akatuma elimu juu y uwekezaji wa hisa, bond nk kwa kweli ilikuwa ni elimu nzuri na niliweza kujifunza kitu. Kitu ambacho nilibaini kila unapoitaji kupata elimu hakikisha unapata elimu kila maeneo ili uweze kujifunza na kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya Fani zifuatazo unashauri kijana aliyemaliza chuo ajifunze kwa future?

    Udereva malori(Transit) Excavator driving Au ni fani gani una mshauri kijana mpambanaji asomeee?
  17. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tumelipwa 280,000 kati ya Laki 9.5

    Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tulitakiwa kulipwa kiasi cha takribani shilingi 950,000 lakini hadi sasa tumelipwa shilingi 280,000 tu. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kupunguzwa au kucheleweshwa kwa sehemu iliyobaki ya fedha hizo. Kinachotushangaza zaidi ni kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  20. JamiiForums Tanzania UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…