kashfa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Porojo na Uhalisia Katika Kashfa ya Ndugai

    Abuu Kauthar Siku hizi kila jambo linalotokea ni hoja ya kudai katiba mpya. Ni hivyo hivyo imekuwa katika kashfa ya Job Ndugai ya kuipinga serikali na chama chake hadharani, jambo lililopelekea hasira za wana CCM na kulazimika kujiuzulu. Limezungumzwa sana suala la mihimili ya utawala...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI 11 December 2021 Mheshimiwa Rais nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini ningependa badala ya kusema kazi Iendelee basi uitikie haki, ustawi wa watu na uhuru wa kweli. Mheshimiwa Rais nina mengi ya kukueleza kuhusu...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

    Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta zimeonekana katika taarifa hizo ambazo zinaonesha Kenyatta na nduguze wana...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

    Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona --- Nahisi...
  5. Informer

    JamiiForums Tanzania Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

    Chanzo: Gazeti la Raia Mwema
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kosa kwa kuwa kashfa nyingi zipo Wizara ya Fedha

    Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha. Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na zaidi na ndio inayoongoza kwa kashfa za ubambikaji wa kodi, kushuka kwa thamani ya shilingi, wizi...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

    Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
  8. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Vetting ya viongozi ni muhimu sana, kuna wenye kashfa

    Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting. Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu kwa wananchi. Kitendo cha mteuliwa kuwa na kashfa ya ngono, wizi, utoro kazini ni aibu kwa wananchi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo wana Yanga SC duniani kote tumekubali hii ' Kashfa ' isiyovumilika kutoka kwa Injinia Hersi Said wa GSM dhidi yetu?

    " Tumeitoa Yanga SC Uswahilini pale Manzese wakiwa na hali mbaya, Njaa wakila Maharage na Ugali wa Kugombania na Wanang'atwa na Mbu na sasa tumewaweka pale Avic Town Kigamboni wanakula vizuri sana " Yaani wana Yanga SC wote kama kuanzia Usiku huu na mpaka Kesho hatujamfukuza Injinia Hersi Said...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Peru: Kashfa ya Chanjo yapelekea Rais wa zamani kupigwa marufuki kushika wadhifa katika ofisi ya umma kwa miaka 10

    Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19 Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, tafadhali tupia jicho KASHFA YA LUGUMI na pia Makonda achunguzwe

    Mpendwa rais SSH, Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani. Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa nyingi ya wananchi. Wakati wa kumsulubu ni sasa. Pia nidokeze kuwa hata Paul Makonda achunguzwe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania TANAPA /Mbugani Camps katika kashfa nzito ya uwindaji haramu

    Kashfa kubwa imelikumba shirika la hifadhi la Taifa(Tanapa)na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) baada ya baadhi ya maofisa wake wenye vyeo vya juu kukubali rushwa ya dola 20,000 Kutoka kwa Mkurugenzi wa Mbugani Camps Ndugu Barnaba Molel. Mkurugenzi huyu ambaye anaswaka na vyombo vya ulinzi...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Askofu avuliwa nafasi za kuhudumia Kanisa kutokana na kashfa ya kutoka kimapenzi na mke wa mtu

    Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo kabisa kwasababu ya madai ya uzinzi. Bwana Ntagali alistaafu mwaka jana Machi baada ya kuhudumu kwa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima. Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali. Kutokana na suala hilo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike kuwanusuru walimu na kashfa ya ngono dhidi ya wanafunzi?

    Habari wanaJF, Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

    Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020. Karibu kila mahali Rais...
Back
Top Bottom