karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapendekezo: Karibuni tupunguze ukubwa wa Serikali

    Habari wandugu. Kwa sasa na maisha na uchumi wa dunia ni mgumu sana. Kila mtu anatakiwa kujibana. Hivyo na Serikali nayo inatakiwa kujibana. Ili kupunguza matumizi, inahitajika ukubwa wa serikali nao upungue. Leta maoni juu ya namna ya kupunguza ukubwa wa serikali. Mimi maoni yangu. 1. Cheo...
  2. N

    GEITA GOLD KARIBUNI MAZOEZI YA WAZI BUNJU JUMATATU&JUMANNE

    Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu tunarudi pale baada ya jana kuendeleza uteja kwa utopolo fc Hata mkirekodi kwenye simu au kuja na...
  3. Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

    Sabato Njema! Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese. Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno. Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi! Kwaya kubwa zinazoimba vizuri...
  4. Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  5. M

    Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

    1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga. 2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana. 3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo...
  6. Karibuni kwa Majawabu kwa Mwenye Kujua.

    Ila for My opinion is that the answer to this question depends on the culture of those questioned. . If U have a culture where one man can marry up to 7 wives then u have a total of 49 (parents) and 49 children! . Au nasema uongo jamani, With a light touch
  7. Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  8. M

    Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

  9. Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road. Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali. Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
  10. Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  11. Marafiki wa January Makamba na Wadau Neutral kimitizamo karibuni

    Hello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri. Mfano, hii ishu ya tozo January...
  12. Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  13. J

    Mchengerwa aelezea Ligi ya Vipaji ya Samia ambayo itafanyika Mtaa kwa Mtaa, Kijiji kwa Kijiji, Nchi Nzima

    SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO Tarehe 24/3/2022, DODOMA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ameelezea dhamira yake ya kuleta mageuzi makubwa katika Tasnia za Utamaduni, Sanaa na Michezo...
  14. Nini kimepelekea sarafu ya Tanzania kulingana thamani na sarafu ya Kenya hivi karibuni?

    👇👇👇👇
  15. B

    Kati ya Mawaziri hawa; Nani unadhani atafuata kurejesha nyumba ya Serikali hivi karibuni?

    Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu...
  16. M

    Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

    Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!! Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
  17. C

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo makulu bei ni 15M kwa description za kiwanja 0755151642. Karibuni
  18. S

    Utabiri: Mbowe utaalikwa kwenda Magogoni, ila nakushauri ukienda kwa siku hizi za karibuni

    Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA. Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si...
  19. Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC)

    Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza. Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo...
  20. Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

    Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula. Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…