Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi.
Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa.
Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia...
Lengo ni kufiksha mifugo 500,000 kwa mwaka
Kenya on Monday resumed direct export of livestock to Oman after more than 16 years ban.
A ship carrying more than 14,000 goats and sheep from different livestock keeping zones left Mombasa port on Monday afternoon to Salalah Port, Oman, as the two...
Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie hivi karibuni amekuja na muonekano mpya wa mavazi
Mwandada huyu amekuwa kwenye mahusiano na Grand P kwa muda mrefu jambo lililoibua hisia nzito kwa mashabiki wengi ulimwenguni na hata kupelekea mahusiano yao kuwa maarufu sana
Hivi karibuni wapenzi hawa...
Heri ya mwaka mpya wakuu!
Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza.
Kwa...
kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 7 katiba ya shule na uhuru wa kuongea ktk katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nawatangazia watanzania wote kuwa kuna nafasi chache sana za kuhamia shule yetu pendwa kibo secondary school iliyopo moshi shanty town.
NB.tunapokea wanafunzi wenye...
Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee.
Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa...
Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla.
Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
Mimi humu sitafuti mpenzi.
Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa.
Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni...
Wakuu heshima sana,
Wakati wowote kuanzia Jumatatu Mfungwa wa kifungo cha Miaka 30 Bwana Lengai Ole Sabaya anatarajiwa kupandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya wizi wa kuaminika na wenzake watatu ambao wote ni wafungwa wa kifungo cha muda mrefu (30 years)
Lengai Ole Sabaya alitengenezewa gari...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo
Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia.
Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba...
Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka.
Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
Kwa heshima na taadhima naomba niweke mada hapa.
Recently Mzee Sirro ambaye inasemekana ni "Mseminari" MTU mwenye staha, heshima, utu, hali uzazi (mzazi), kiongozi; amekua akitoa matamshi ambayo kwa kweli hayaangukii katika hizo sifa ambazo Mimi binafsi niliwahi kushuhudiwa kuwa anazo.
Kauli...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021.
===
Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+
Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+
Je, hii chanjo haisaidii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.