karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fatma Karume, Karibu nyumbani kwenye Chama cha Baba na Babu yako. Huu ndio wakati wenyewe

    Kazi ambayo tulikutuma uifanye kwa asilimia kubwa umeifanikisha. Ni wakati wa kurudi home kabla hujachafuliwa na hao wenye wazimu na chuki. Tunajua kuna wakati unatamani waendelee kuamini kuwa una fanya harakati nao lakini dhamira ya moyoni inakushinda. Unajikuta unaandika au kuzungumza...
  2. JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Maduka ya dawa marufuku kuwa karibu na hospitali lakini biashara ya majeneza ruksa kuuzwa karibu na hospitali

    Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo. Sababu kuu ni kuwa, huenda maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa dawa na vifaa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana. Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara...
  4. JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Nape Nnauye kwa kurudi kwenye nafasi ya Uwaziri

    Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye. Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa ya kupoteza nafasi yake ya Uwaziri. Funzo: Viongozi mnaoteuliwa simamieni haki bila kujali kama...
  6. JamiiForums Tanzania Tangu alijue kanisa ndio anazidi kunisahau

    Huyu manzi wangu nampenda sana lakini tangu alijue kanisa la Efatha imekuwa nongwa, muda wote yuko bize na vikao vya kanisani hta mzigo sipewi kabisa this time. Nimejaribu kumtia mikwala but amegoma na hataki hata kunisikiliza yaani inapita siku bila kuonana nae kwake fresh tuh, nahisi penzi...
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Karibu uagize Gari kutoka CARHUNT JAPAN

    Karibuni Ndugu zangu wana Jamii forum katika uzi huu upate nunua/Agiza Gari kutoka CARHUNT JAPAN Katika uzi huu nitaweka Bei ya Gari ambayo itajumuisha Bei ya Gari na Usafirishaji (C&F), Gharama za TBS na Clearing Fee. Kwa ufafanuzi tu ni kwamba sisi hatuna yard hapa Tanzania Bali Yard yetu ipo...
  8. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe pandikizi la Ccm linalotumika kuua upinzani, mwaka 2014 alitumika kuhujumu CHADEMA iliyokuwa karibu kukamata dola.

    Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa. Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola. My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
  9. JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

    Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiona chama tawala hakitaki kukosolewa na wanachama wake kwa makosa kinayofanya basi anguko lake lipo karibu

    Kunaguka kwa chama tawala ni pamoja na kupoteza imani kwa wananchi. Wananchi ndio huwa wanapima na kuona mwenendo wa chama walichokiweka madarakani. Kwa jinsi taifa letu na wananchi walivyo masikini wanapokosa msaada wa chama tawala ili kuwalinda dhidi mafisadi na wakora wa malk ya umma basi...
  11. JamiiForums Tanzania Karibu keki ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Karibu keki ya Miaka 60 ya uhuru
  12. JamiiForums Tanzania Karibu Tanganyika Packers Kawe Desemba 4, 2021 uje ujionee 'Maajabu' ya Kuuaga mwaka 2021

    Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake. Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka Gari Nina Tsh 10M Madalali karibuni

    Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema 1. Kluger 2. Harrier 3. Murano 4. Dualis
  14. L

    JamiiForums Tanzania China kwa mtazamo wa mwafrika anayeishi China kwa karibu miongo miwili: China ya sasa ina mambo mengi ya kujifunza kuliko uchumi peke yake

    kasri ya kifalme mjini Beijing (Forbidden City) mandhari ya kisasa mjini Shanghai Kwa muda wa muongo mmoja sasa China imekuwa inatajwa kama nchi yenye uchumi wenye nguvu ambao unakaribia kuupita ule wa Marekani. Kwa watu wengi wa Afrika picha ya China kidogo ina mchanganyiko wa yale...
  15. JamiiForums Tanzania Karibu nyumbani

    Kwako mpendwa, Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula. Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata kama umetoka kula. Niko pembeni, ukisema umechoka kwa safari basi ntakulisha kama kinda...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu tena Mbeya

    Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka moyoni za nini utatufanyia wana MBEYA tukiwachagua, najua ulijua mtashinda uchaguzi na mulishinda kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Live from The Grand Hyatt, Kilimanjaro Kempinsky- TotalEnergies Marketing Tanzania, Yazindua, Pure Lubricant, ni Funga Kazi!. Karibu Ushuhudie Live!

    Paskali
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  20. JamiiForums Tanzania Karibu waist trainer

    Karibu Inakupa matokeo mazuri Inakupa muonekano mzuri Bei 45000/= DM kwa more information
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…