Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,139
- 4,173
Kwa pamoja Ukraine na Russia wanaongoza kwa kuwauzia na ndio wazalishaji wakubwa wa:
1. Ngano
Hii n malighafi kwenye viwanda vya CHAKULA na pombe Russia n muuzaji mkubwa wa ngano kwa nchi za ulaya. TANZANIA Kuna maeneo Kama Manyara huko unaambiwa enzi hzo mahekari kwa hekariz zililimwa ndio mwanzo wa bia Kama safari lager, Kilimanjaro lager kupata tuzo za Monde selection award kila mwaka siku hz n makapi ya mahindi pia kilimo hiki ndio ilkua chachu ya kiwanda Cha NYATI kikichotengeneza unga Bora wa ngano Arusha enzi hzo.
2. Alizeti
Hii n kwa ajili ya mbegu Bora na uvunaji wa mafuta ya kupikia Russia akiwa Ni mdahu muhimu anayehakikisha ulaya na dunia wanapata mafuta ya kupikia na mbegu Bora za kilimo huko mashambani. TANZANIA tuna maeneo Kama Singida, Tabora, Simiyu na Dodoma ambao niwazalishaji wakubwa wa Bidhaa za alizeti kuanzia shambani mpaka jikoni.
3. Mbolea
Russia n mdau namba moja kwa kuuza mbolea ya mashambani duniani kote, TANZANIA tuna kule minjingu(Manyara) na bado tuna maeneo ya kufanya tuwe na viwanda Kama hvyo.
4. Pombe (whisky)
Kwa ulaya malighafi au pombe Kali hutokea Russia kwa kiasi muhimu n sawa na Tanzania ambapo wskulima wa miwa wsnalalamika miwa yao haina soko hii fursa kwa wafanyabiashara na serikali kushirikiana kuanza kuzalisha pombe za miwa huku tukiendelea kuimarisha kilimo Cha zabibu, kingine Kuna pombe Kama konyagi na kvant tayari zinauhskika wasoko la nje, Kilimanjaro na safari wameshindwa kumantain quality ya brand zao na kulifanya soko labia litawaliwe na bia za nje nawaomba waende wakaonje bia yoyote ya Kenya walinganishe na yao.
5. Gas
Ukraine Ni mzalishaji mzuri wa gesi ambapo serikali na kampuni kubwa za urusi ndio mmiliki wa gesi hyo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani huko ulaya ambapo sie TANZANIA hii gesi ipo na Ni nyingi Cha ajabu hata pale mtwara within 10km kutoka plant ya gesi utakuta mtu anapikia kuni.
Jamani serikali hasa watawala Mana Tanzania viongozi Ni wachache mtuonee huruma vitu muhimu Kama hv vitunufaishe sisi kwa kuvitumia na kuuza kwa manufaa mema ya vizazi hivi na vitakavyokuja huko baadae.
6. Mafuta
Russia n muuzaji namba mbili dunian kwa uzalishaji wa mafuta na namba moja kwa kuwauzia mafuta bara la ulaya pia Tanzania tunaambiwa kule ziwa Eyasi, ziwa Nyasa, ziwa Tanganyika huku naskia Total energy alishaanza mchakato wa kuyatoa huko.
Sasa Kama taifa tunakwama nn kuhusu hili Kama n wasomi wa kuanzia tayari tunao shida iko WAP?
7. Madini chuma
Chuma n nyenzo muhimu Sana kwenye kufuma vyuma kwa matumizi ya kujenga taifa(Viwanda vya machine, ujenzi) TANZANIA tumebarikiwa kule kusini chuma ipo na hata uwez jua inasaidia vp hili taifa.
8. Bahari na bidhaa za bahari
Kwa uvuvi tuu wa samaki Kama ungesimamiwa vizuri Leo hii wanafunzi wote wachuo wadingekuwa wanakopeshwa Bali wangekuwa wanasoma buree vikiria Pwani tokea Tanga - Zanzibar kwenda comoro - mpaka mtwara Hawa n samaki maji chumvi bado tunao wa maji baridi(Victoria, Tanganyika,Nyasa, Eyasi Hawa huwa na chumvi) wote Hawa Kama tutawavuna vizuri na kutengeneza sera nzuri kwa manufaa ya watanzania kesho na keshokutwa hapa tutakula na kuuza rejea kebei za filamu ya yule mzungu ya mapanki.
Kwenye maji tuneongelea kitoweo tuu bado Kuna samaki wanabidhaa muhimu kwenye ule ambao tunaona n uchafu kabla ya jumla pia Kuna utalii.
9. GEOGRAPHICAL POSITION
Hii ndio MAMA wa yote hayo TANZANIA tupo sehemu salama kibiashara kwa maana tumepakana na nchi Zaid ya 8 na zote hzo nyingi zinatugemea sisi kwa namna moja muhimu sana mfano population ya Congo DR ukiweza kufanya nayo Biashara wewe n tajiri, njoo Kenya&Uganda, Zambia&msumbiji, Burund&Rwanda, comoro&Mayyote bado Kuna Somalia, south Sudan na wengine kidogo kidogo pia hata kusafirisha Mana tuna bandari kubwa 4(Tanga, Zanzibar, Dar Es Salaam na mtwara) pia tuna ndege endapo mzigo itakuwa kufika kwa unataka.
Vitega uchumi Kama taifa TANZANIA tunavyo vingi Sana hatujazungumzia Madini, Utalii, Misitu, hata gharama za kupokea na kusafirisha mizigo kutoka bandarini mpka nchi jirani mzigo unapokwenda.
JE KAMA TAIFA TUMEJIANDAE KUKUA KIUCHUMI KUTOKANA NA HUU MZOZO WA RUSSIA VS UKRAINE?