karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Plot4Sale Karibu Galilaya nikuuzie kiwanja. 10Kms from Mwanza city centre

    Karibu sana Kiwanja kiko Jijini Mwanza. Kata: Muhandu wilaya: Nyamagana mtaa: Galilaya kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu. Miundombinu yote ipo kiwanjani. Kiko Barabarani kabisa. Bei ni 10million Tshs karibu tuwasiliane 0713096076
  2. UMEO SINGIDA KARIBU

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo siku ya kumbukizi ya kifo cha Baba WA Taifa Mwl JK Nyerere. Sina cha kusema Ila Mungu Amuweke anapostahili. Kila mtu atavuna alichopanda duniani. Haya twende kwenye lengo la thread. Nina rafiki yangu ana mke wake mnyaturu kutokana na...
  3. Karibu kwenye elimu nje ya darasa

    Kusema kweli kabisa, yapo mengi SANA ya kujifunza baada ya kuwa tumemaliza elimu ya kufanyia mitihani na kupatia vyeti. Hata kama utasoma ukurasa mmoja kwa wiki, Hakuna tatizo. Lakini iko faida kubwa kuliko kutosoma kabisa. Kwa miaka karibia 40 sasa, tumeambiwa: Ukimwi unasababishwa na HIV...
  4. Hivi ni majukumu au ubinafsi unaofanya watu wasiwe karibu kama zamani?

    Leo nimewaza sana, Nakumbuka miaka ya zamani tunakua, kulikuwa na ukaribu mkubwa sana baina ya watu. Ilikuwa inafika kipindi watu wa mtaa mzima tulikuwa tunafahamiana vizuri kabisa hata kutembeleana. Hili lilikuwepo kuanzia mitaa ya uswahilini, hadi uzunguni. Kuanzia shuleni, tulikuwa tunasoma...
  5. Umeshtuka usiku umekutana na rafki yako wa karibu anakuroga na ukamuona usoni je kesho utamkumbusha !?

    Nimemuona mchawi namjua Ingekuwa ww ungemfata asubuhi !?
  6. Nauza Kiwanja Mabwe Pande karibu na Mto Mpiji kina ukubwa wa Mita 25 kwa 20

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
  7. M

    Simba aliishia karibu caf champions league msimu uliopita, msimu huu timu ya wananchi imefika mbali sana hadi NIGERIA!!

    Hao ndio mabingwa wa kihistoria Tz, wameitendea haki nafasi waliyoipata kwa mbeleko na kufika mbali sana kwenye caf champions league hadi NIGERIA!!!
  8. Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  9. T

    Karibu Mwenge wa Uhuru mkoani Mbeya

    KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA. Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani...
  10. A

    Waliochaguliwa course ya Bsc.Environmental science and management,,,chuo chochote usiache kupita hapa karibu nkueleweshe

    Wale wote mliochaguliwa Bsc.ESM chuo chochote karibuni kwa maswali yoyote ,,,pia wadau ambao mpo karibuni tuwashauri vijana
  11. S

    Tozo hizi za awamu ya sita hazina tofauti na tozo za Bodi ya Mikopo zilizoongezwa karibu mara mbili enzi za Magufuli

    Jamani tuache unafiki wa kusema eti tutamkubuka Magufuli kutokona na tozo hizi za awamu ya sita kwani huu ni muendelezo tu wa sera za CCM kukamua wananchi bila huruma. Wote ni mashahid wa makato katili ya Bodi ya Mikopo wakati wa utawala wa Magufuli ambapo makato yaliongezwa kutoka asilimia 8...
  12. Karibu Young Africans Haji Sunday

    Simba watasema hili dongo kwa Mwamedi
  13. Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

    Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
  14. Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

    Habari wanna JF. Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena...
  15. M

    CHADEMA wasipoe, ushindi uko karibu

    Kwenye hii ishu ya katiba mpya na haki ya mikutano ya kisiasa iliyoko kwa mujibu wa katiba, kwa vyovyote vile Samia atakavyoamua kudeal na Chadema, Chadema bado wataibuka washindi. 1. Ni kwa faida ya legacy yake mwenyewe kutogeuka dictator Kama angekuwa mwanafunzi mzuri wa hayati Magufuli...
  16. Mitandao ya simu huongeza t kwenye huduma za kifedha karibu kila mwaka. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wanachi ili kuendana na kasi ya mitandao?

    Wakuu natumaini kuwa hamjambo! Napenda kuuliza hili swali langu dogo; Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
  17. Watu wawili wa karibu Ikulu aliyekuwa rais Haiti kuhojiwa kuhusiana na njama za kumuua

    Wanajamvi habari za weekend Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti Wako kizuizini wakihojiwa. Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama. Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National...
  18. M

    Mikutano iliyotangazwa kufanyika nchi nzima na Katibu Mkuu CCM siyo mikutano ya hadhara iliyozuiwa na Rais?

    Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa linawahusu watu gani? Pia Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM naye anazunguka kiaina kukutana na wananchi na...
  19. M

    Karibu tuvune magogo na mbao ya Mninga na Mkulungu

    Nina shamba ekari 50 lina miti ya Asili mingi ikiwemo mninga na mkulungu, yeyote aliyetayari aje inbox tuzungumze tushirikiane. Serikali imeanza kutoa vibali vya uvunaji. Karibun sana
  20. M

    Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…