PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.
Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia
Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
Wakuu habari!
Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia
Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi
Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
Ukiangalia kwa haraka unaweza kuchukulia poa how come pale juu hakuna taifa lolote la Waafrika weusi?
Kwa Nini chini mwa Sahara desert hakuna tena nchi ya kiaarabu?
Niamini Mimi Kuna namna watu hawakutaka watu weusi wawe na direct access kwenye nchi za Europe.
Habari wanajukwaa, wafanyabiashara, na wote. Naomba niwakaribishe kwaajiri ya kujipatia viatu mbalimbali vya michezo, viatu vya kawaida, jeans, t-shirt kali na jezi OG kabisa.
Tupo Karume kwa viatu vya michezo, mipira, guard pia kuna discount kwa anayechukua full yaani viatu, soksi na guard...
Karibu Tanzania nchi ambayo Mchina anaingia nchini anafanya kazi bila vibali hata miaka 6 fresh tu
Wewe mngoni nenda kariakoo fungua hata Ki Mpesa na huna leseni Utakiona cha moto.
Inawezekana kweli mzee wangu marehemu JomoKenyatta aliona sisi ni maiti kweli?
Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu.
Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi na kila kitu zinaenda sawa na wewe.
Je kwa chupi unaipa umakini huohuo au unavaa tu unayoiona ipo...
Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani.
Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
Yooo watu wangu wa nguvu, especially wale wa CBE na vyuo vingine, na hata mtaani – kama unajiona uko ready ku-push maisha yako next level, then this message is for YOU!
Niko tayari kukupiga shule ya ukweli – somo la biashara, mindset, online hustle na street smart ideas – zote zikiwa zimetulia...
Yooo watu wangu wa nguvu, especially wale wa CBE na vyuo vingine, na hata mtaani – kama unajiona uko ready ku-push maisha yako next level, then this message is for YOU!
Niko tayari kukupiga shule ya ukweli – somo la biashara, mindset, online hustle na street smart ideas – zote zikiwa zimetulia...
Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU
Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu nyingne tofaut na sehemu ya butcher Tena sehemu ambayo biashara ya mnada hufanyika.
Wahusika...
Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo.
Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP
Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha
Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
Plot for Sale at Kijitonyama located in a very quite and peacefully neighborhood,
■One incomplete building
■Area size 1500sqmt
■Price 850m tsh
Contact us and Schedule a visit!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera .
Moja kwa moja kwenye mada .Baada ya Simba kufuzu kwenda hatua ya fainali sasa tutaanza kuona nyuzi za watopolo wakimtisha simba kuhusu Berkane.
Niwambie tu nyie topolo kaeni kwa kutulia simba ni timu kubwa haogopi timu yoyote...
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani...
Wakuu habari za leo.
Kama Kuna mtu ana wazo la kulima ufuta, mahindi, kunde and the like Nina eneo la ekari 6 Kabuku.
Nataka kuotesha malimao lakini apatikane mtu wa kulima masika na vuli mpaka malimao yakue then yanafanyiwa budding.
So mtu atakayepatikana ataingia cost za kusafisha shamba...
Katika ku interact na watu wengi wa makundi mbali mbali kitu nilichowahi kunotice wapare ni watu wenye hasira za karibu sana lakini uzuri zinaweza kushuka fasta pia.
Nimeishi na watu wa Mara na wamasai utofauti wao hawana hasira za karibu isipokuwa wao wakipandwa na hasira ni ngumu kuzishusha...
Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA).
Here we go!.
Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo.
Civics
History
English
Kiswahili
Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.