shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,559
- 3,110
Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera .
Moja kwa moja kwenye mada .Baada ya Simba kufuzu kwenda hatua ya fainali sasa tutaanza kuona nyuzi za watopolo wakimtisha simba kuhusu Berkane.
Niwambie tu nyie topolo kaeni kwa kutulia simba ni timu kubwa haogopi timu yoyote Afrika .
Huyo berkane alishawahi kucheza na Simba.
Sisi Simba tunamsubilia na uzuri tunaanzia kwake.