karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  2. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Vijora na Vitambaa, karibu uulize chochote kuhusiana na hiyo biashara

    Karibuni sana wakuu! Mimi ni mfanyabiashara wa vijora na vitambaa. Mnaweza kuuliza chochote kuhusu biashara hii niko hapa kwa ajili yenu.
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna watu karibu kila siku mchana wanalala, mnawezaje?

    Aisee labda niwe nimelewa ila kulala mchana big NO cha kushangaza sasa kuna watu wanasinzia daily mchana yaani mnafika job asubuhi tu mtu saa 3 anaanza kuegesha saa 7 anaegesha na sio kwamba anafanya kazi za usiku. Hiyo inasababishwa na nini?
  4. Yusufu Mjasili

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye uzi wa "Instrumental Beats" za nyimbo za zamani

    Burudani: Je, unapenda kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo mbalimbali? Nyimbo nyingi za sasahivi ukitaka kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS utazikuta wameweka huko YouTube, Google, n.k. Lakini nyimbo za zamani zile za enzi ya producers akina P-Funk majani, Master J, Mika Mwamba, Said Comolien...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  7. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako .

    Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako . Hizi waweza kuzitumia katika uji Waweza kutumia katika Mboga Waweza kutumia katika Chakula Kama kupika mihogo , ndizi kwenye Mapishi: unaweza kuiweka katika Nyama, kande, Mboga za Majani na hata kupaka juu ya Mkate. Bei ni kuanzia elfu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bora Uishi karibu Kodi kubwa ama mbali na nauli kubwa

    Maoni yako Tafadhali
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Msifadhaike jamani, yote haya karibu yatakwisha

    Watu wengi wamejaa fadhaa kutokana na mambo mbalimbali yanayoendelea huku na kule duniani: vita, magonjwa ya kutisha, ukosefu wa ajira, njaa, uhalifu, matetemeko, gharama kubwa za maisha, nk. Rafiki, usifadhaike. Hayo yote karibu yatakwisha. Biblia inatuhakikishia kuwa hayo si maisha ya milele...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
  11. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Diaspora Messenger, nipo hapa, usihofu tena kuwekeza Nyumbani kwa kuibiwa , kutapeliwa na ndugu au watu ambao sio waaminifu karibu unitume.

    Wakuu habari. Mimi kwa sasa , ninafanya kazi Kama Diaspora Messenger. Kazi ninazofanya ni Kama kuwawakilisha watanzania wote waliopo nje ya nchi kwa kufanya Kazi zao mbali mbali. Ikiwa wewe ni Diaspora unahitaji MTU mwaminifu utakayekuwa unamtuma kufatilia Kazi zako , naomba tuwasiliane...
  12. Malkia wangu

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na ndugu wa karibu wanawaharibu sana watoto

    ( Nilikua na miaka kati ya 4-6) Ila kabla sijaanza SHULE ya msingi. Tumelelewa na singo Maza kwahiyo alikua bize sana kupambania ugali wanae tusilale njaa. Alikua mjasiriamali kwahiyo muda mwingi yupo minadani Leo WILAYA hii kesho nyingine . Kuna wakati dada wa kazi alikua haeleweki...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

    Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia kwenye simu yako ya mkononi ukiwa popote. Bei zetu ni nzuri na tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akiua huwa anaandamwa na wenge karibu hapa fundi samico nikujuze

    Siyo kila jambo halali lazima liwe na marejeo kutoka kwa wachunguzi wa kale ndipo uthibitishe kwamba ni kweli au uongo! Yapo Mambo mengi ya uongo yamethibitishwa kwa marejeo ili kuupotosha umma na baadhi ya mambo ya ukweli yalifutwa au kufichwa kwa kutokuandikwa popote duniani ili kuficha jambo...
  15. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha primary, o level au Advance

    Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
  17. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Karibu Shebwa Masonry Contraction, Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye...
  18. Yusufu Mjasili

    JamiiForums Tanzania Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Japani Imezindua Mpango Kuwahamisha Raia 100,000 Kutoka Visiwa Karibu Na Taiwan iwapo Kutatokea Mzozo

    Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei. Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe

    Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe. Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae alipoenda kuziondoa alimpata Jirani yake ameanika chupi zake karibu na boxer hizo.
Back
Top Bottom