KERO Arusha-Arumeru: Choo kinajengwa karibu na bucha la nyama

KERO Arusha-Arumeru: Choo kinajengwa karibu na bucha la nyama

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Breadboard

Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
88
Reaction score
147
Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU

Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu nyingne tofaut na sehemu ya butcher Tena sehemu ambayo biashara ya mnada hufanyika.

Wahusika NAOMBENI chukueni hatua
Halimashauri wajali afya za walaji.
PXL_20250502_154703926.jpg
PXL_20250502_154615552.jpg
PXL_20250502_154558630.jpg
 
Attachments

  • PXL_20250502_154641615.jpg
    PXL_20250502_154641615.jpg
    487.2 KB · Views: 34
  • PXL_20250502_154604554.jpg
    PXL_20250502_154604554.jpg
    514.6 KB · Views: 34
Moderator mmeshindwa kupost huu mgogoro wa kujenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) au mpka tupate kipindupindu.
 
Attachments

  • PXL_20250506_142001575.jpg
    PXL_20250506_142001575.jpg
    993 KB · Views: 27
Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU

Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu nyingne tofaut na sehemu ya butcher Tena sehemu ambayo biashara ya mnada hufanyika.

Wahusika NAOMBENI chukueni hatua
Halimashauri wajali afya za walaji.

Suluhisho: watafute sehemu nyingne syo karibu na bitcher
downloadfile-19.jpg
downloadfile-10.jpg
downloadfile-7.jpg
 
Attachments

  • downloadfile-17.jpg
    downloadfile-17.jpg
    725.7 KB · Views: 36
  • downloadfile-9.jpg
    downloadfile-9.jpg
    549.2 KB · Views: 29
  • downloadfile-8.jpg
    downloadfile-8.jpg
    487.2 KB · Views: 32
Hukubtown vyoo vipo ndani--- hatari sana
 
Geneva of Tanzania or Africa!
😄😁😆😅😂🤣
 
Back
Top Bottom