karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa kanisa la Mwamposa karibu na maeneo yetu..kwa kweli tunalala kwa amani, wachawi waganga wanaumwa.wengine wamehama kabisa

    Kwa kweli Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada Yaan toka waanze ibada kanisa jipya kwa kweli kuna waganga wametesa wengi sana eneo la kawe Hivi...
  2. Kigger

    JamiiForums Tanzania Karibu utangaze kwenye TV kwa bei ndogo

    Wadau Karibu mnisapoti kijana wenu . Karibuni mtangaze kwa gharama mdogo kabisa kupitia Tz Gospel Tv ipo Azam other channel 27 tunapatikana African nchi 21 satellite eutelsat 7b Kupitia kingamuzi cha azamz,zuku, continental decoder na milan cable arusha channel 204 Gharama zetu ni kama...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

    Gambo umejionea mwenyewe . Lema yupo na Access ya Canada Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya . Ulimfanyia Figisu Akakosa ubunge Ukaharibu reputation yake But now it is ur time to reap ur karmic debt . Pole Sana , What you sow you shall reap. Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ila kuna watu wana machozi ya karibu

    KUMBUKIZI: Huuu moshiii mweusi au mweupe jamani maana ukiona mtu mzima anaria ujue kuna jambo jamani ubunge laah,kibaka wa Siasa hii ndiyo CCM/.... SASA NI No Reform no Election hivi bungeni kuna nini jamani🤣🤣🤣
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada humu aliandika akiwa karibu na wanaume wanaweweseka, yeye anaona kama sifa hivi ila ajui kuwa wanamkimbia hawataki vizinga

    Saikolojia ya wadada wengi wenye makalio makubwa ni kufikiria kinyume nyume kama ilivyo minyama yao iliorudi nyuma.
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Naishauri Iran Kama vita vikianza tena waanze kupiga base za Marekani zilizopo karibu naye

    just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda. Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
  7. Little brain

    JamiiForums Tanzania Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

    Uchambuzi wa kina 1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?" Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani. Kiuhalisia: Dini hutofautiana kwa sababu ya tamaduni, historia, siasa, jiografia, lugha, na mapokeo ya watu...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  9. rehemabernard

    JamiiForums Tanzania karibu Pm Air cargo

    UNANUNUA VITU CHINA? TUNAKUSAIDIA KUVILETA HADI BONGO HARAKA NA RAHISI – PM TRADING & LOGISTICS 🛫📦 Habari wana JF, Sasa hauhitaji kuwa mfanyabiashara mkubwa ili uweze kununua bidhaa zako kutoka China! Kama unataka simu, laptop, viatu, nguo, tablet, smartwatch, vifaa vya nyumbani, vipodozi...
  10. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania For Car Rental Services | Kwa Huduma ya ukodaji wa Magari karibu tukuhudumie.

    Kwa wale wenye Harusi , msiba , pamoja na Mambo mengine ambao mnahitaji kukodi Magari mnakaribishwa Bei hizi hapa wakuu Mercedes Benz G Wagon - Tsh 2.3M All Sedan Benz - 450k Benz Above YOM: 2014 - Tsh 600k Audi | BMW Mostly - Tsh 800k Ineos Grenadier - Tsh 1.8M Toyota V8 | 200 Series -...
  11. 3

    JamiiForums Tanzania Nina miti 10 ya maembe naikata kama kuni ambaye yupo interested karibu

    Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii. Iko miti 10 kila mti nauza sh 20,000. Ukija utakatiwa kwa kila mti sh 5000 kama tu posho ya mkataji wangu. Ukishakata...
  12. Jackal

    JamiiForums Tanzania Karibu Mkuu Wa NATO ,Mark Rutte Amuita Donald Trump" Daddy"

    NEW: Secretary General of NATO Mark Rutte refers to President Trump as ‘Daddy’ while Trump was talking about Israel & Iran’s peace deal. Trump: They had a big fight. Like two kids in a schoolyard. Let them fight for about two minutes. Then it's easier to stop them. Rutte: And then Daddy has...
  13. Jackal

    JamiiForums Tanzania Karibu Mkuu Wa NATO ,Mark Rutte Amuita Donald Trump" Daddy"

    NEW: Secretary General of NATO Mark Rutte refers to President Trump as ‘Daddy’ while Trump was talking about Israel & Iran’s peace deal. Trump: They had a big fight. Like two kids in a schoolyard. Let them fight for about two minutes. Then it's easier to stop them. Rutte: And then Daddy has...
  14. ommytk

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa makongo mwisho kuelekea kanisa katoliki karibu na josam apartment

    Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m Karibu
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Eng. Kadogosa karibu Chato, Kalemani kapumzike sasa!

    Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

    Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

    Finyanga udongo Choma majani Pepo naudongo Samaki,nyama,mboga majani ohoo ndegeee Simba wa binadamu Jua maji Mwezi nyota Tumsifuu Mungu baba Hata mara mojaa kwa jumaa Hata ni wa shetani jua hii nalijua Sijui nini sijui niini Nadina hoo nadina ohioo
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mke kutoka kwa Bwana karibu

    Hodii humu ndani ! Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana. Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri Hela ya matumizi ya kawaida ipo uwezo was kupanga nyumba nzima upo kusomesha watoto na kumtunza mama yao...
  19. Erick_Blocks_Machine

    JamiiForums Tanzania KARIBU NIKUUZIE MASHINE YA UMEME YA KUFYATULIA TOFALI.

    (VIBRATED BLOCK MACHINE) 🔹️TOFALI MBILI (1) 🔹️NGUVU YA MOTA 3HP 🔹️TOFALI 2000+ KWA MASAA NA 🔹️BEI 2,500,000/= TUNAPATIKANA MWENGE DAR ES SALAAM OPPOSITE NA SUMA JKT.
  20. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Mabati kutoka Sunbank Tanzania

    Karibu Sunbank Ujipatie Mabati kwa bei rafiki . Tupo na Aina zifuatazo za Mabati Tupo na Aina zifuatazo za Mabati. 1. Gloss ( Mtelezo ) 2. Rich tile 3. Ridge /Valley 4. Matte (Chenga chenga ) Call +255 675 335 081 Bei zetu Location :- DSM-Banda la ngozi karibu na...
Back
Top Bottom