kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalali wa kimataifa

    Ghorofa linauzwa,kariakoo daressalaam tanzania,bei ni billion 2.5,maongezi yapo

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  2. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG: Ucheleweshaji wa Soko la Kariakoo na Mwanza ulisababisha ongezeko la Bilioni 1.35

    Ukaguzi wa kiufundi wa ukarabati na ujenzi wa Soko la Kariakoo, Soko Kuu la Mwanza, na Kituo cha Mabasi cha Nyamhongolo umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usanifu, na usimamizi wa mikataba, hali iliyosababisha ongezeko la gharama na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi. Kusoma...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo?

    Naomba tujadili hii maada kwa kirefu. Mada yetu: Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo? Katika medani ya kimataifa, China na Marekani hushindana vikali kiuchumi na kiteknolojia, kila taifa likitaka kuwa kinara wa dunia. Vita hii ya kiuchumi mara nyingi...
  4. P

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
  5. Torra Siabba

    KERO Responded Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

    Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu sambamba na kwenye njia ambazo watu tunapita, hali hii inaleta kero kubwa. Mfano katika Mitaa ya...
  6. S

    Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  7. radhiya

    Apartment Inauzwa Kariakoo

    Apartment Mpya Inauzwa - Kariakoo, DSM ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom ina furniture ipo ghorofa ya nane jengo ni jipya lift ipo Bei TZS 280m Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345 @prathlimited
  8. fact only

    Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo. Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote yule mwenye Nia/ndoto ya kufanya biashara anaweza kumudu, mfano zipo fremu za...
  9. mdukuzi

    Nimeahidi kutembea tumbo wazi toka Kariakoo mpaka Ubungo endapo Simba itafuzu nusu fainali

    Hii ni ahadi na itatekelezwa Safari imeanza wazee niko magomeni
  10. M

    Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  11. Eagle Wa njano

    MACHIMBO BORA YA MASHUKA NJE NA KARIAKOO NI YAPI?

    Wakuu naomba msaada kwa yeyote anaejua machimbo bora ya mashuka nje na kariakoo ni yapi? Maana huwa naskia tu mashuka ya Uganda, Taiwan, UK, Turkey Nk ila sijajua exactly ni wapi naweza pata tofauti na vitu vingine ambavyo ukihitaji unaenda kucheki Alibaba. Kwa wanaojua naombeni msaada wakuu
  12. Nyarupala

    Machimbo ya SIMU za jumla kariakoo

    Hello! Eid Mubarak kwenu nyote. Naomba kujua ni maeneo gani kariakoo ambako kunapatikana machimbo ya SIMU za jumla hasa SIMU ndogo maarufu kama viswaswadu. Nimezurula sana Leo na bila mafanikio. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu watanzania wenzangu🙏
  13. uhurumoja

    Hii 'Mashemeji derby' inaenda kufuta ule upuuzi wa Kariakoo

    Kipindi tukibaki na usingizi wa "derby ya tano afrika"naangalia mashemeji derby ikiwa imenoga sana hapa Hii inanifariji kwamba ule upuuzi wa kariakoo huenda ukafutika mda si mrefu kwa kupata mbadala wake na utabaki kuwa wa viongozi na wanasiasa
  14. Nyamwage

    Nimenunua SSD 512GB ya SATA Kariakoo lakini kila nikiigoogle sioni manufacturer wake nahisi nimepigwa

    Mpaka naamua kujifariji au ni brand mpya haijafahamimika bado sokoni maana bei nilio uziwa nikilinganisha na maduka mengine inaweza kuwa ni nusu bei kingine kinachonipa wasiwasi nafasi kawaida ssd 512 ukiweka inasomeka 476gb lakini hii inasomeka 443gb nimetest kuhamisha large files za GB 271...
  15. Labani og

    Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

    Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8. Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
  16. W

    Watatu kuongezeka Kesi ya Kuporomoka kwa ghorofa la Kariakoo

    Dar es Salaam. Wafanyabiashara wengine watatu wa Kariakoo, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya 31 ya kuua bila kukusudia. Wafanyabiashara hao ni Soster Nziku (55) mkazi wa Mbezi Beach, Aloyce Sangawe (59) mkazi wa Sinza na Stephen Nziku (28) mkazi wa...
  17. Barakha John

    Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    #Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki. Nimekuwa kwenye soko la...
  18. Jaji Mfawidhi

    Nguvu inayotumiwa na vijana Kwenye mijadala ya Timu mbili za Kariakoo meshauriwa kuhamishiwa:

    Vituo karibu vyote vya redio pamoja na vya madhehebu ya dini vimehamia kwenye mpita. Vituo hivyo, mbaya zaidi, kuanzia asubhi mpaka usiku wanajadili timu mbili za Kariakoo. Inasemekana vijana wanaojadili mpira mpaka kusahau wake zao na kuchapiwa na wasio washabiki wa mpira ni wengi na wangeweza...
  19. Scared

    Thread ya machimbo ya wachina nguo vyombo viatu kariakoo Kwa wote manayoyajua machimbo weka hapa hii inaitwa fuluza winga na utapeli kariakoo

    Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
  20. M

    Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

    Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias: Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
Back
Top Bottom