kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wachina kufukuzwa kariakoo

    Binafsi nafikiri kuna changamoto watu hawajaziangalia vizuri kabla ya kufikiri kuwa wachina ni tatizo nalo ni ukosefu wa Elimu, Elimu, Elimu ya Biashara 1. Wafanyabiashara wa Tanzania walio wengi hawana Elimu ya biashara 2. wafanya biashara walio wengi ni wabinafsi 3. baadhi ya wafanya biashara...
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kariakoo; Na majina ya Mitaa

    Kwanini baadhi ya Mitaa imepewa majina ya lugha/kabila afu baadhi ya lugha/makabila hayana Mitaa. Mfano.. Kuna Mtaa wa Nyamwezi, Sukuma, Swahili n.k ila hakuna Mtaa wa Kurya, Kinga, Makonde n.k.?
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO RC Dar na mamlaka nyingine, hamjaona chemba zinavyotiririsha maji taka Kariakoo?

    Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya chemba zinazotiririsha maji taka katika maeneo ya biashara...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea

    Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea. Ushawai kupotea kariakoo mdau ?
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hizi timu za Kariakoo ni shida tupu ila ni kama uraibu wa dawa za kulevya kwa wabongo wengi

    Kuna taarifa kwamba kuna vijana wengi wa academy ya mpira huko Mwanza waliuuwawa kikatili sana katika machufuko ya October 29 lakini hii timu haikuona hiyo ni habari na badala yake wamejikita katika taarifa za mbibi mmoja huko Botswana aliyefariki kwa kifo cha kawaida tu.
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Hawa "ITEL EAST AFRICA LTD" siyo Sukari tu, kumbe wako hadi kwenye "Real Estate"!. Cheki mjengo wao wa Kariakoo

    Hii nchi bwana! Nilikuwa siamini hayo ya mitandaoni, lakini inakuwa ngumu kama kukwepa ngumi ya uso kwa kufunga macho.
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shirika la Masoko Kariakoo latangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa waliounguliwa maduka

    SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka. Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza msamaha huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 Dar es Salaam. CHANZO...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni misemo gani ya watu wa kariakoo ukiisikia huwa unacheka sana?

    Mimi binafsi nikipita kariakoo kwenye yale spika zao nikisikia hii misemo minne huwa nacheka sana. 1.Boss kalewa 2.Boss kasahau bei. 3.Boss kavurugwa 4.Boss kapandwa na kichaa
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba kura ndani ya Daladala

    "Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani" Alisema Manara na kuongeza kuwa. "Nimeingia kwenye hii daladala, Naomba kura. Na maana ya kupita...
  10. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ni fulsa ya kubadilisha maisha ya maelfu ya watanzania

    🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee bali pia mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki na Kusini. Lakini katika dunia ya sasa ambapo karibu...
  11. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Machawa ni kama wapiga debe stendi au mawinga Kariakoo

    Watu wengi huwa wanawalaumu, kuwatukana na hata kuwachukia machawa wakiamini mtu anaweza kuacha uchawa tu akiamua. Ukweli ni kwamba sio rahisi kuondokana na uchawa kama ambavyo sio rahisi kuwandoa wapiga debe wasumbufu stendi au mawinga wa Kariakoo. Uwepo wa hawa watu hautokani na wao moja kwa...
  13. 6By6 Miguno

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomea🤣🤣🤣🤣 Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuna Jengo limeshika moto Mitaa ya Aggrey na Sikukuu - Kariakoo muda huu (Agosti 31, 2025)

    Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Sokoine drive Kariakoo

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 1.5B. For more...
  16. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  18. M

    JamiiForums Tanzania Fujo za Kariakoo

    Ndugu wasomaji Kama mnavyojua soko letu la kariakoo inavyopiga kazi kwa biashara lakini kwa saivi fujo zimezidi sana maana machinga wapo kila kona inakuwa usumbufu kwa sisi wafanyabiashara tunaolipa kodi na tumepanga duka maana wateja hawafiki madukani zetu kwa shida kama za parking salama ya...
  19. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Siri wanazotumia matajiri wakubwa wa kariakoo kuendelea kuwa matajiri na kutoshikika

    SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA Usipozijua utaendelea kuwashangaa Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya siri tu wanatumia kuendelea kukuza utajiri wao... 1. Group Buying ya Nguvu wanaungana makundi na...
Back
Top Bottom