Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Ndugu wasomaji
Kama mnavyojua soko letu la kariakoo inavyopiga kazi kwa biashara lakini kwa saivi fujo zimezidi sana maana machinga wapo kila kona inakuwa usumbufu kwa sisi wafanyabiashara tunaolipa kodi na tumepanga duka maana wateja hawafiki madukani zetu kwa shida kama za parking salama ya...
SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA
Usipozijua utaendelea kuwashangaa
Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya siri tu wanatumia kuendelea kukuza utajiri wao...
1. Group Buying ya Nguvu
wanaungana makundi na...
Hii kifaa inaitwa VR BOX,
Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA
Usipozijua utaendelea kuwashangaa
Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya siri tu wanatumia kuendelea kukuza utajiri wao...
1. Group Buying ya Nguvu
wanaungana makundi na...
Jana tuligusa wazo la Kariakoo GPT 🤖🛍️ – Post yenyewe ipo hapa.
Ahsanteni sana kwa jinsi mlivyonipa support kali 💯 na mawazo ya nguvu! Miongoni mwa ideas mlizotoa ni hizi hapa:
✅ Kushirikiana badala ya kushindana – Mawinga wawe wabia, si washindani
✅ Group buying ya nguvu – Wafanyabiashara na...
1. UTANGULIZI
Udalali "Winga" ni Nini?Udalali "Winga" ni aina ya udalali unaofanyika Kariakoo ambapo mtu anapata wateja wa bidhaa mbalimbali bila kuwa na duka au ghala la kuhifadhi mzigo.Dalali wa aina hii hutafuta wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kishakuwaunganisha na wauzaji wa...
Habari wakuu .
Kama unahitaji kufanya biashara ya viatu kariakoo Kuna fremu inaachiwa Kwa sh 500,000 Kwa mwezi imebaki miezi Saba. Mwenyewe anahamia Dodoma hakuna kilemba.
Ni kariakoo Mtaa wa muhonda (Msimbazi na muhundo opposite jengo la DDC) karibu.
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda...
Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa.
Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua...
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari.
Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
Habari wana jamii kama kichwa cha uzi kinavyojieleza kama kuna wafanyabiashara wa kariakoo mnaouza suruali za vitambaa aina ya boss naomba tufahamiane kwa lengo la kufanya biashara pm yangu iko wazi wakuu muda wowote
Baada ya Haji Manara kutangaza nia ya kutaka kuwa Diwani Kariakoo na kuchukua Fomu kupitia chama cha Mapinduzi CCM
Dulla Makabila, amemua kutoa ya moyoni kuhusu maamuzi hayo ya Haji Manara
“Kama pale tu ulikuwa hauna mamlaka yeyote na ukaninyoosha ndugu yangu safari hii ntasikia tu...
Mwaka huu Simba walipoanza kama wenyeji kwenye raundi ya kwanza ambapo watani zao Yanga waliwapa sapoti yote ya promosheni, wao waliamua kutukana nafasi hiyo kwa kuhujumu raundi ya pili ambapo Yanga ndiye aliyekuwa mwenyeji.
Kwa hali hiyo Derby tano zifutazo Yanga ndiye awe ni mwenyezi kwenye...
Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa Kesho Juni 25, 2020 saa 11:00 jioni kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Ni utaratibu siku moja kabla ya...
Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu.
Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo.
Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.