kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  2. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Maduka 68 na store zake,hapa ni kariakoo daslam tanzania 🇹🇿bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  3. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    JINA LA KITABU: “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo” UTANGULIZI: Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba. Wengi wanapoteza muda, hela, na nguvu wakizunguka Kariakoo bila mafanikio — wananunua bidhaa ghali, feki, au kutoka kwa...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ulega: Rais Samia umeituliza nchi sakata la Dabi ya Kariakoo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

    Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu Kwenye hali kama hizi wasanii...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa derby ya Kariakoo tarehe 25, Yanga anaongoza 2-0 nje ya uwanja

    Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya! Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25! Sasa viongozi wao...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TFF ya kanusha kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo

    TFF imekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Yanga na Simba June 15 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge ambana Waziri Dabi ya Kariakoo Bungeni

    "...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
  10. fact only

    JamiiForums Tanzania DDC & Big Bon Kariakoo

    Habari wana JF. Wafanya biashara wote na wale mnaotarajia kuanza biashara majengo haya ya DDC na BIG BON Kariakoo yamekamilika. Hapo unaweza kufanya biashara ya viatu, biashara ya miamala wakala wa mitandao ya simu na Bank, ukauza nguo za watoto za wakubwa, ukauza vinywaji, ukauza jezi...
  11. screpa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ikianza kukwepa majukumu yake ndiyo huzaa changamoto kama za hii ya dabi ya kariakoo

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais soko la Kariakoo litaboreshwa maradufu

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;- Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia Usafi utakuwa wa hali ya jùu...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

    Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!! They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara! Mamlaka zina...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

    Wakuuu Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi? == Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika kipindi cha...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wadai fidia TSh. bilioni 40 jengo kuporomoka

    Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara kubwa kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa lililokuwa katika eneo la Kariakoo. Kesi hiyo...
Back
Top Bottom