kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wachina wamezagaa Kariakoo ila mtu yupo kimya, watetea haki za kibinadamu wamekuja Tz mtu kafoka nusu kulia

    Hiii kitu binafsi siielewi yani WACHINA wamekuja kuchota shilingi zetu na kupeleka kwao ila mtu hajatoka hadharani kuongea chochote ila WATETEA HAKI za binadamu wamekuja mara moja tu mtu katoka hadharani chapu na kuanza kufoka nusu atoe machozi. Kweli Tanzania Mungu atusaidie sana tuna safari...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyabiashara/Walanguzi Kariakoo watishia kuhama CCM ikiwa Wachina hawatafukuzwa!

    Wafanyabiashara Walanguzi Kariakoo wametishia kuhama Chama ikiwa Wachina hawatolewa Kariakoo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Timu za Kariakoo Jengeni viwanja vyenu ili kuongeza furaha za mashabiki wenu

    Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taa Za Makutano ya Uhuru-Msimbazi (Kariakoo) zipo likizo? Basi awekwe Traffic ili kuepusha kero

    Ni zaidi ya miezi miwili kwa nyakati tofauti kila nikipita kwenye makutano ya mataa ya Uhuru na Msimbazi nakutana na kero ya msongamano wa magari eneo hilo, mtaa yaliyofungwa kuongoza magari eneo hilo yanakuwa yamezimika na hazifanyi kazi, waliopo maeneo hayo wanadai kuwa kero hiyo imekuwa ya...
  5. moto nkali

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya usafirishaji wa mizigo midogo (vifurushi) na mikubwa kutoka Dar kwenda popote kwa mteja

    JE, UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA KUTUMA AU KUPOKEA MIZIGO NDANI NA NJE YA DAR ES SALAAM? Hii inakuhusu sana, iwe unafanya biashara au unahitaji huduma binafsi za usafirishaji! TUAGIZE SISI – WATAALAMU WA MIZIGO NA USAFIRISHAJI WA KUAMINIKA Sisi ni kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

    Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo anataka kuwafukuza Wachina Kariakoo kwa kuuza bidhaa bei poa

    Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali atalivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali. Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo. Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waathirika ghorofa lililoporomoka Kariakoo wafungua kesi mahakamani kudai fidia

    Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limezuia mkutano wa CHADEMA kariakoo likidai litavuruga biashara bila kuwa na malalamiko yoyote ya wafanye biashara wa eneo hilo

    Kitendo cha jeshi la polisi kuzuia CHADEMA kufanya mkutano kariakoo haukuwa wa haki na unatia wasi wasi dhidi ya mwenendo wa jeshi hilo katika kutekeleza wajibu wake. Jeshi limezui mkutano likidai litavuruga biashara bila kueleza ni vipi itavuruga biashara wala bila kuwepo kwa malalamiko yoyote...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  12. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa Kariakoo Dar es Salaam bei ni TSh Bilioni 2.5

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  13. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa,kariakoo daressalaam tanzania,bei ni billion 2.5,maongezi yapo

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ucheleweshaji wa Soko la Kariakoo na Mwanza ulisababisha ongezeko la Bilioni 1.35

    Ukaguzi wa kiufundi wa ukarabati na ujenzi wa Soko la Kariakoo, Soko Kuu la Mwanza, na Kituo cha Mabasi cha Nyamhongolo umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usanifu, na usimamizi wa mikataba, hali iliyosababisha ongezeko la gharama na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi. Kusoma...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo?

    Naomba tujadili hii maada kwa kirefu. Mada yetu: Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo? Katika medani ya kimataifa, China na Marekani hushindana vikali kiuchumi na kiteknolojia, kila taifa likitaka kuwa kinara wa dunia. Vita hii ya kiuchumi mara nyingi...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
  17. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

    Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu sambamba na kwenye njia ambazo watu tunapita, hali hii inaleta kero kubwa. Mfano katika Mitaa ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  19. radhiya

    JamiiForums Tanzania Apartment Inauzwa Kariakoo

    Apartment Mpya Inauzwa - Kariakoo, DSM ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom ina furniture ipo ghorofa ya nane jengo ni jipya lift ipo Bei TZS 280m Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345 @prathlimited
  20. fact only

    JamiiForums Tanzania Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo. Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote yule mwenye Nia/ndoto ya kufanya biashara anaweza kumudu, mfano zipo fremu za...
Back
Top Bottom