kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. wakusoma

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye historia ya John Rupia, Mwana TANU na tajiri wa kwanza mweusi mitaa ya Kariakoo?

    Mwenye ndondoo za mzee wetu huyu marehemu atushushie. Inasemekana alikuwa mfadhili wa TANU na tajiri wa Kariakoo.
  2. evangelical

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi shirika la masoko Kariakoo

    Wadau kazi hizo hapo mwenye sifa na aombe SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO (KARIAKOO MARKETS CORPORATION) S. L. P. 15789, SIMU: 2180678 Dar es Salaam. Tanzania. 27 March , 2017 TELEGRAM “MASOKO’ www.kariakoomarket.co.tz Kariakoo Market Corporation is an autonomous...
  3. barafu

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

    Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu kijana wa Kizanaki,mtoto wa Chief na "mvaa kaptula" alikuja baadae sana Dsm wakati wenzake wakiwa...
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania Historia ya Soko la Kariakoo na Mchora ramani Beda Amuli

    Historia ya jina la Kariakoo na soko la Kariakoo inaanzia tangu enzi za ukoloni wa Mjerumani wakati Tanzania Bara ikiitwa Tanganyika. Mahala lilipo soko hilo palijengwa jengo la utawala wa Wajerumani ambalo lilikusudiwa litumike kama ukumbi wa kuadhimisha sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Kaiser...
Back
Top Bottom