Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana.
Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini
Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao...
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam limefichua Siri ya kuongezeka Vitendo vya ujambazi katika maBenki mbalimbali hapa nchini na kusema vitendo hivyo vinasababishwa na Wamiliki wa Mabenki hayo kulipuuza Jeshi la polisi,Kauli hiyo ya Jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam imekuja...
Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani au shughulini. Zimekuwa mbadala wa khanga.
Asante.
Naomba ku-declare interest.
Mimi binafsi nampenda na kumkubali Sana Mama Samia hivyo kwa nguvu na uwezo nilionao sitakubali hujuma yoyote kwake.
Nchi inaendeshwa kwa Kodi, hivyo kauli ya mama Samia kusema tutumie akili kukusanya hakumaanjsha tusilipe Kodi na badala yake mapato kupungua na...
Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000...
MAONI YANGU KWA SIMBA NDANI YA KARIAKOO DERBY
Simba kuwa makini sana na wachezaji hasa hasa wale wote machachari kuna uwezekano UTOPOLO wakawaumiza wote kwa pira gwaride, hivyo 8 may kwenye derby hiyo kunawezekana wakakosa kucheza klabu bingwa ROBO FAINAL yangu hayo tu
Inatia moyo kwakweli nadhani tunafungua kurasa mpya sasa. Kama watasikiliza na watakua tayari kutekeleza maoni. At least tutawashuhudia Herufi Tatu(TRA) wakija kwa majadiliano bila kuwa na FFU na makofuli ya kufunga fremu kwa kipindi kirefu sana
Ila kama ni mkutano tu kama mingine iliyopita...
Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe?
Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini?
Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
WENYE MAMLAKA TURUDISHIENI KARIAKOO YETU:
```Kariakoo ni jina linaloitambulisha Kata Mojawapo ya Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 11106. Kata hii inakadiriwa kuwa na zaidi ya watu 13,780 waishio humo hii ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2012.
Jina...
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum,
Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo...
Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike.
Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
Kwa mara ya kwanza leo hii nimefika stendi mpya ya Magufuli, hakika inastahili kubeba heshima ya Jemedari wetu Dr. JPM, nimeshuka tu nilidhani nimefika South Africa! ni nzuri sana na kubwa, ya kisasa!
Movements niliyoiona ni kama vile Kariakoo yote imehamia Mbezi!
Stendi hii imebadilisha kila...
Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA.
Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla.
So...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama...
Mtaani tumezoea kodi ya fremu kuanzia 50k-200k, kutokana na eneo.
Kwa taarifa ninazopata ni kuwa fremu K.koo si chini ya 1M, oky hio sikatai kutokana na eneo lenyewe. Vipi hawa wanaosema ni 3M-5Millions.
Je, hii ni kweli? Mtu huyu ana mauzo ya namna gani?
Ikumbukwe hapa nazungumzia fremu za...
Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi.
Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.