Tupeane connection za kuagiza moja kwa moja laptops zinazouzwa bei nafuu Kariakoo

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Kuna maduka kama laptop city, Discount kubwa, zawadi computers na maduka kibao ya wasomali wanauzaga hizi laptops kwa bei chee kidogo.

Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma, Sikuwa na nia ya kuharibu biashara zao ila nlikuwa nataka tu nijipigie order kuna pc ni bei sana sasa nikataka nijiagizie.

Kwa anaejua please

Mwl.RCT
Chief-Mkwawa
 
Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma, Sikuwa na nia ya kuharibu biashara zao ila nlikuwa nataka tu nijipigie order kuna pc ni bei sana sasa nikataka nijiagizie.
Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.

Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo.

Na kama ujuavyo computer and computer parts hazina kodi, wanalipia VAT basi.

Hivyo wakiondoa gharama za kuifikisha laptop nchini na wakaweka faida yao, bado wanapata faida kubwa sana.

Angalia kwa mfano hapa
1598264255491.png

1598264340854.png

Kwa mfano hizi laptop ukizifikisha nchini, na ukafanya timming ambapo first year ndio wanalipoti vyouni, Utaingiza fedha ndani ya muda mfupi sana sababu wewe utawafuata wateja wako vyuoni na utawauzia kwa bei nafuu.
 
Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.

Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo...
Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
 
Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.

Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo.

Na kama ujuavyo computer and computer parts hazina kodi, wanalipia VAT basi.

Hivyo wakiondoa gharama za kuifikisha laptop nchini na wakaweka faida yao, bado wanapata faida kubwa sana.

Angalia kwa mfano hapa
View attachment 1546678

View attachment 1546680

Kwa mfano hizi laptop ukizifikisha nchini, na ukafanya timming ambapo first year ndio wanalipoti vyouni, Utaingiza fedha ndani ya muda mfupi sana sababu wewe utawafuata wateja wako vyuoni na utawauzia kwa bei nafuu.
Dah aisee umenigingua macho mkuu, lakini naona hizo za zamani kidogo, vp hizo ambazo no core i5 na core i7 zenye vizazi (generation) vya saba kwenda juu
 
Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
Mkuu zingatia maelezi ya mkuu hapo juu inabidi ununue kwa kujumua nyingi ndo utauziwa, sio moja moja,
 
Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
Mkuu zingatia maelezi ya mkuu hapo juu inabidi ununue kwa kujumua nyingi ndo utauziwa, sio moja moja,
 
Kuna maduka kama laptop city, Discount kubwa, zawadi computers na maduka kibao ya wasomali wanauzaga hizi laptops kwa bei chee kidogo.

Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma...
Kama mwl alivyokuambia pc kwa bei nzuri unapata, changamoto kubwa ni kuzisafirisha kuleta huku hasa kama una mtaji mdogo. Laptop ni nzito na kampuni za usafirishaji wanachaji hela nyingi, unless unaleta kwa meli.

Na pia specs muhimu, core 2 duo kwa dola 54 bado ni ghali.

Kwa uelewa wangu china si mahala pa kutafutia computer, bei ghali sana, Usa ama Nchi zenye kodi ndogo kama Dubai, Malyasia etc unapata kwa bei nzuri zaidi.
 
Mkuu zingatia maelezi ya mkuu hapo juu inabidi ununue kwa kujumua nyingi ndo utauziwa, sio moja moja,
Unaweza nunua ebay kma unataka moja. Zinakua juu kdg ila sio kma huku bongo. Shida inakujaga kwenye shipping. Shipping cost bei kubwa.

Ila kama unaagiza kwa seller aliye kuwa UK shipping inakua bei chee kwa kutumia Royal Mail. Mimi nalipaga £10 mpk £15 na mzigo unaingia ndani ya week 2 au 3 tu. As long as mzigo hauzidi kg 3
 
Unaweza nunua ebay kma unataka moja. Zinakua juu kdg ila sio kma huku bongo. Shida inakujaga kwenye shipping. Shipping cost bei kubwa.
Yani kwenye shipping hapo panaongeza sana gharama, unakuta pc ni laki 2 tu, ukija shipping kama dola 135 hivi takribani lako 3 hapo, yani hapo tayari bei ya usafiri ishazidi ya kununua, Ujanja hapa ni kuagiza nyingi tu ila chnagamoto ni mtaji
 
Kma ukijumlisha bei ya kununua na shipping yake ikawa bado bei ni ndogo kuliko kununua huku bongo we chukua tu. Tena hyo inakusaidia ikifika huku, VAT unalipia kwenye bei ya laptop tu (mf. hyo laki 2) na hawapigi percent kwenye shipping.

Kama mm niliagiza kioo cha laptop. Nililipa 129,00/= (80,000 kioo na 49,000 shipping). Kilivyofika huku VAT ikapigwa kwenye hyo 80,000 tu na sio jumla. Kwahyo kodi ikawa ni ndogo
 
Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.

Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo.

Na kama ujuavyo computer and computer parts hazina kodi, wanalipia VAT basi.

Hivyo wakiondoa gharama za kuifikisha laptop nchini na wakaweka faida yao, bado wanapata faida kubwa sana.

Angalia kwa mfano hapa
View attachment 1546678

View attachment 1546680

Kwa mfano hizi laptop ukizifikisha nchini, na ukafanya timming ambapo first year ndio wanalipoti vyouni, Utaingiza fedha ndani ya muda mfupi sana sababu wewe utawafuata wateja wako vyuoni na utawauzia kwa bei nafuu.
Nilitaka kuandika jibu.

Ila nikaona nisome kwanza majibu ya wengine.

Hakika umemaliza.
 
Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.

Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo.

Na kama ujuavyo computer and computer parts hazina kodi, wanalipia VAT basi.

Hivyo wakiondoa gharama za kuifikisha laptop nchini na wakaweka faida yao, bado wanapata faida kubwa sana.

Angalia kwa mfano hapa
View attachment 1546678

View attachment 1546680

Kwa mfano hizi laptop ukizifikisha nchini, na ukafanya timming ambapo first year ndio wanalipoti vyouni, Utaingiza fedha ndani ya muda mfupi sana sababu wewe utawafuata wateja wako vyuoni na utawauzia kwa bei nafuu.
Mkuu utajuaje bidhaa zisizo na kodi yaani ni vat tu kama ukiagiza ndo utalipia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom