kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme Kariakoo

    Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako? 💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡 ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. Kutoka Kampuni zote mahiri kama vile; ABB, TRONIC...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Chemba inayotiririsha maji taka kando ya Soko jipya la Kariakoo ni tishio kwa afya

    Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za kuelekea Masaki hupaki. Chemba hiyo limekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi na wafanyabiashara...
  3. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme vya kisasa, Kariakoo

    📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa. Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa: 🎯Viwanda 🎯Majumbani 🎯Minara n.k Tunapatikana Kariakoo, Narung'ombe na Gogo. Tunatuma Tanzania na nje ya Tanzania...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mawinga Kariakoo tafuteni kazi ya kufanya, sasa hivi Kila mtu anajua chimbo mnakera

    Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki. Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari

    Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari Amendika Twaha Mwaipaya, Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba underdog mbele ya Yanga, Nassoro Mwinchui Pilato Dabi ya Kariakoo, Machi 1, 2026

    Vigogo wa soka la Tanzania, Simba SC na Yanga SC wanatarajiwa kushuka dimbani Machi 1, 2026 katika Uwanja wa Amaan Complex kuumana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kuelekea mechi hiyo Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na alama 28 na pia wamewafunga Simba mara sita mfululizo. Mchezo...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Swali: Ukweli ni Upi Kuhusu Ukumbi wa Arnautoglo na Soko la Kariakoo Katika Historia ya Baba wa Taifa?

    https://youtu.be/uQTPRpBzetA?si=cFpDdErw3IxPlVfG
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mwalimu Nyerere na Soko la Kariakoo Lazima Ihifadhiwe

    Usiku ndiyo pana utulivu wa kufanya kazi.
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Wafanyabiashara, bodaboda wanaoziba barabara na njia za watembea kwa miguu watakiwa kupisha

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wa Kariakoo wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi ya barabara pamoja na kwenye njia za watembea kwa miguu. Hoja hii ilianzia hapa ~ Usalama wa watembea kwa miguu Msimbazi - Kariakoo, Je, Mamlaka...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Shariff Abdallah Attas na Mwalimu Julius Nyerere Sokoni Kariakoo

    https://youtu.be/XfpiwoY773Q?si=AatqVE4wrUgwhP7w
  14. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kupita pale chuo HTC pembeni ya darajani kwenda kariakoo, kufundisha

    Nilikutana na mwanamke msukuma, ana sura ya baba ila biyo shape duuuh! Mk*nd mkubwa sana mzuri, somebody V . kama upo hapa nicheki pm please, SIKUSAHAU. tuliwahi ku do juu ya deka Maeneo ya TMK maduka mawili. Come dm omease kama utaona hii. Ulikua unavaa miwani hivi. Usijiulize mengi njoo...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wapi Ilipokuwa Ofisi ya Market Master Kariakoo Market?

    Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo. Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni kwenda mbele. Hapo niliposimama kwenye picha nimesimama ilipokuwa zamani Barabara ya Swahili na...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 2

    https://youtu.be/JW8ruo8JwLo
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 1

    Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana. Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja na yeye atatoka mbio kukimbia ovyo. Ilikuwa katika kutishwa kama hivi ndipo alipovamia meza ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Rais Samia amerejesha tabasamu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa ukarabati wa Soko

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Shingi Bilioni 28 zilizorejesha tabasamu kwa wafanyabiashara wa Kariakoo ambazo...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimetoka jioni hii kwenye soko lililozinduliwa Kariakoo. Tuipongeze serikali na kujipongeza kwa kazi nzuri

    Tupo salama! 1. Leo katika mishe mishe zangu nilibahatika kufika Kariakoo. 2. Mara nyingi Siku ya jumapili kwangu ndio Siku ambayo napendaga Kwenda kariakoo kutokana na Jam kuwa ndogo tofauti na Siku zingine. 3. Lakini pia usafiri unakuwa hausumbu. Kama ujuavyo Sisi tusio na magari lazima...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Nina hoja nisikilizwe, waliochoma soko la kariakoo wapo mbona mnawaacha? Sasa ushahidi tulio utoa mbele ya kamati tulikuwa na tumepoteza Muda?

    Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
Back
Top Bottom