kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
  2. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa,lipo Kariakoo bei ni billion7,kuna frame,apartments&godown

    Gorofa hili lipo kariakoo mtaa wa mafia karibu na ipokua club ya yanga ya zamani Kazi imenyooka sana warith wawili tu na wamekubaliana kuuza Ina incam nzuri sana . Jengo lina floor 8 zakuishi. Kila floor 1 ina apaiment 4 na kila apartment ina mpangaji analipa kodi 800,000 kwa mwezi za vyumba...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TRA karibuni miavuli ya Kariakoo

    TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-. Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter. Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Natafuta winga Kariakoo

    Nipo mkoani, mara nyingi huwa nahitaji vifaa vya nyumbani na ofisini kutoka sokoni kariakoo moja kwa moja. Sasa kuna ndugu nimekuwa nikimtumia kwa muda mrefu amepata safari na yupo nje ya mkoa wa Dar,. Hivyo kama kuna Winga unamfahamu ambaye ni mwaminifu mwenye ambaye tutafanya kazi nipewe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro imevunjika Mtaa wa Muhonda na Muheza Kariakoo

    Juzi kati kuna mtaro ya maji machafu imekatika na kusababisha kudumbukia tayari za magari na hata watu wanaotembea na hata huleta harufu mbaya katika makazi na kuathiri afya za watu Tunaiomba jamiiforums ipeleke kero hii kwa wahusika Hapa ni mtaa wa muheza na muhonda kariakoo karibu na China...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mitaa Iliyonipa Pesa Nyingi Kariakoo

    Habari wakuu, Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu. Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya construction, kitengo cha manunuzi (Procurement). Kazi yangu ilinifanya nizunguke Kariakoo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kariakoo sehemu gani ni bigfish wa laptop ?

    Naombeni msaada nataka niwe winga wa laptop ila sijui chimbo naombeni mnielekeze wapi?...kwa kariakoo
  8. BM256

    JamiiForums Tanzania Uzi wa TV bei za jumla kariakoo

    Huu uzi nitapost bei za jumla za tv brand zote . Ni kwaajili ya wafanyabiashara wa tv mikoani na wateja wanahitaji pieces nyingi pekee. Tupo kariakoo mtaa wa magila 📍 Whatsapp 0745588735
  9. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Miaka 13 Adai Kupigwa Kikatili na Mwajiri Wake Kariakoo

    Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Moto wazuka katika moja ya Ghorofa Mtaa wa Agrey, Kariakoo

    Leo Juni 15, 2026, moto umezuka katika moja ya nyumba zilizopo Mtaa wa Agrey, Kariakoo, Jijini Dar es salaam huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa moto huo ulianza ghafla na kisha kusambaa kwa kasi ndani ya jengo husika. Jeshi la...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mgambo Kariakoo wanatumia kigezo cha 'faini' kuomba rushwa kwa Bodaboda na Bajaj

    Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja. Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
  12. dorge

    JamiiForums Tanzania Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu. Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

    1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku 2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona 3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba...
  14. bless on

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya kuondoa Spika za matangazo Kariakoo Yaiva!

    Jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi operesheni ya kuondoa spika za matangazo ya biashara zinazotajwa kusababisha kelele katika maeneo mbalimbali ya biashara, hususan Kariakoo, kwa lengo la kurejesha utulivu na kuboresha mazingira ya wafanyabiashara pamoja na wanunuzi. Hatua hiyo inalenga...
  15. Brex2

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  16. radhiya

    JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Midoli ya kike iliyo uchi ipigwe marufuku Sinza na Kariakoo!

    Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga! Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka yupo Mahakamani kwa ajili ya kesi ya wafanyabiashara 'wapangaji' katika jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo

    Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Biashara za Wazawa Kariakoo zinafungwa, tutunge sheria Biashara chini ya Bilioni 50 isifanywe na Wageni

    Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot For Sale at Kariakoo Gerezani

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 2B. For more...
Back
Top Bottom