Fedha za kununulia kanga, vitenge na pikipiki za CCM pamoja na kufanya mikutano zimetoka ndani ya Chama au ni za Serikali?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo.

Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini ya ufadhili wa nani? Hizi wanazolipwa wana CCM kama posho kwenye mikutano zinatoka wapi?

Dola imefika 2500; bidhaa zipo juu ila fedha za wachache zipo. Je, hizi ni kodi zetu au kuna ufadhili tumepata?
 
Kama hawataki kuvunja ule mkataba wa hovyo wa mwarabu mpaka leo licha ya kuoneshwa mapungufu yake makubwa, na wao kukosa majibu ya maana kuutetea.

Ndio ujue hizo khanga, vitenge, na bodaboda ni rushwa aliyopewa Samia na wajomba zake uarabuni, ndio maana ametuzibia masikio watanganyika hatujali na bandari zetu alizogawa.
 
Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo.

Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini ya ufadhili wa nani? Hizi wanazolipwa wana CCM kama posho kwenye mikutano zinatoka wapi?

Dola imefika 2500; bidhaa zipo juu ila fedha za wachache zipo. Je hizi ni kodi zetu au kuna ufadhili tumepata?
CCM = SERIKALI
Ni muda wa kuiondoa madarakani sasa
 
Attachments

  • BFEB0107-D0B2-4646-B626-FC8411CD8C4E.jpeg
    BFEB0107-D0B2-4646-B626-FC8411CD8C4E.jpeg
    71.1 KB · Views: 3
Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo.

Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini ya ufadhili wa nani? Hizi wanazolipwa wana CCM kama posho kwenye mikutano zinatoka wapi?

Dola imefika 2500; bidhaa zipo juu ila fedha za wachache zipo. Je, hizi ni kodi zetu au kuna ufadhili tumepata?
Serikalini.

Mambo mengi ya CCM hugharamiwa kwa fedha za umma (serikali), hasahasa ziara za chama na mikutano ya chama.
 
Back
Top Bottom