Mikoa inayoongoza kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na kwenda kuoga kwa kijola au kanga moko

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
6,418
13,547
Shalom,

Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya mikoa na wilaya zake hapa Tanzania kuna mikoa ni kiboko kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na nyakati za kwenda kuoga kwa kuvaa kijola laini au kanga moko na kuacha chuchu au maziwa yakidamshi.

Eeh bana wewe kuna wake za watu wako vizuri kwa kujikusudisha kwenye mitegezo.

Bila kuchelewa orodha kwa viwango mtiririko.

1. Dar eSalaam a.k.a DSM
2. Tanga
3. Pwani
4. Morogoro
5.Tabora
6. Kagera
7.Dodoma
8. Manyara
9. Singida

Ni hayo tu kwa leo unaweza kuboresha kwa kubadilisha mtiririko wa namba na ziada yoyote

Shukrani

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
 
Back
Top Bottom