kanga

  1. dongbei

    Kanga Weupe Wanahitajika

    Salaam wakuu, Nahitaji Kanga MWEUPE kwa ajili ya kufuga. Nahitaji zaidi dume, ikishindikana hata jike ni sawa pia. Mimi ninafuga kanga wa madoa hivyo nahitaji kuchanganya na weupe pia. Ndiyo maana nahitaji mmoja tu ili nipate mbegu. Kama uko naye tuwasiliane hapa au PM kwa namba za simu. Pia...
  2. De Professor

    Nahitaji kununua Kanga na Bata Mzinga kwa bei ya Shamba

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie...
  3. De Professor

    Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  4. S

    Natafuta kanga 20 wa kufuga nipo Mwanza

    NATAFUTA KANGA 20 WA KUFUGA MWANZA Wawe bado wadogo jike 15 na jogoo 5 weka bei hapa na mahala wa kuwapata
  5. Kibosho1

    Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

    Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati. Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu...
  6. YEHODAYA

    Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  7. D

    Wanawake wa siku hizi wengi wao hawabebi kanga wala kitambaa cha kujifutia wanapokwenda faragha na wenza wao

    Mambo yanakwenda kasi sana! Siku hizi wanawake waliowengi hawabebi vitambaa wala kanga za kujifutia baada ya kufanya mapenzi! Sielewi wamepatwa na nini! Mwanamke wa dizaini hii nilikuwa nikikutana naye asipokuwa na kanga, basi Mimi nilikuwa najifutia chupi yake! Sasa siku hizi hali imekuwa...
  8. mdudu

    Airtel huduma kwa wateja ni janga la kitaifa

    Ndugu Wanajamvi, Nimepata tatizo kuhusiana na Airtel Money siku ya ijumaa, na nipo kijijini. Lakini kila nikipiga huduma kwa wateja namba 100 ili niwaeleze tatizo langu hawapatikani. Chakujiuliza ni kwamba, inawezekanaje mitandao mkubwa wa mawasiliano wakakosa namba ya simu ya kuwahudumia wateja?
  9. Eliya Dawa

    Mashine za kutotoleshea vifaranga vya kuku, bata kwa aina zake, kanga na kwale

    Habarin wakuu, Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji. Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata. Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga vya kuku pia tunaweza kukudelivery popote ulipo. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no zangu ni...
  10. ommytk

    Mwanaume kuvaa Kanga au Kitenge

    Wadau Mimi naomba kuuliza kuna huu utamaduni naona unazidi kushamili sasa sijui hali ngumu za maisha. Kuna kasumba siku hizi imekuwa kama Fashion wanaume kuvaa Kanga au Kitenge hasa asubuhi nje wakati kupiga mswaki au ata mida mingine tu ya kawaida ukienda kumtembelea mtu badala taulo au msuli...
  11. M

    Kweli usiwaamini wanasiasa. Kwenye kampeni wanagawa bure kofia, tisheti, kanga nchi nzima, lakini wameshindwa kugawa barakoa hata kwa Dar pekee.

    Wanasiasa mnatuangusha. Tulitegemea hata chama kimoja kijitokeze kugawa bure barakoa kwa nchi nzima Kama ambavyo mmekuwa mkifanya kipindi Cha uchaguzi, ambapo huwa man uwezo wa kugawa tisheti, kofia, kanga na vitu vingine vingi nchi nzima. Huu ndo wakati wenu tunawaomba mjitokeze.
Back
Top Bottom