Wakuu salam.
Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya mawasiliano ya kielectronic kama AIRPORT,VODA,TCRA nk anisaidie kupata nafasi ya kufanya mafunzo ya vitendo...
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Anslem Namala amesema meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho na kwamba hivi karibuni wanatarajiwa kutoa tamko juu ya chombo hicho cha usafiri kurejea kwenye ratiba zake kama kawaida.
Ameeleza kuwa tamko rasmi...
Nimeona kwa wenzetu inawezekana. Vipi kwa huku kwetu?
Labda unataka kufanya siri kwa lengo la kuepuka "umaarufu". Hutaki marafiki, ndugu zako, mkeo na watoto wako wajue mwanzoni, ingawa unaweza kuja kuwaambia huko mbeleni, labda ikiwa "imeshabreak even"
Hufanyi hivyo kwa lengo la kukwepa...
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)
Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
🔹 Tuwasiliane leo:
📲 WhatsApp: +255674916323
📞 Piga: +255674916323
🌐 Tembelea:
Huduma Zetu:
🚀 USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi!
✅ Tax Clearance
✅ Leseni za Biashara
🔥 Company/NGOs Profile
🎨 Usajili wa Alama za Biashara na Huduma
🌐 Blog na Website, na...
Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta.
Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Madini.
Akizungumza leo Mei 6, 2025 jijiini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji.
Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
Nina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji...
Inashauriwa ni vyema kufanya search na kupata taarifa za Kampuni kabla hujaingia nayo ubia au kufanya biashara.
Lakini swali la msingi hua ni namna gani unaweza pata taarifa zote za muhimu za Kampuni?
Linapokuja suala la search watu wengi hukimbilia online sites na ku search Kampuni husika, na...
Nyie wazururaji nijuzeni Mimi nilikuwa sijui mmiliki wa samaki samaki anaitwa nani na Kuna mtu kaniambia ndo mwenye wavuvi camp..swali langu fupi ni je mwenye hizohizo samaki samaki za dar masaki na mlimani city ndo huyohuyo anamiliki ile ya morogoro.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Mawasiliano ya Haotel Tanzania Kanali Dao Xuan Vu, katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Hanoi, Vietnam...
WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu.
Naanza:
Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat.
Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu.
Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”.
Kunguru - alikua mweusi...
Wakuu,
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43.
Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
Watu wengi hudhani kwamba ukishapewa Certificate of Incorporation basi Kampuni yako imekamilika.
Vipi kama nikikwambia pamoja na kua na hio certificate of Incorporation Bado unakua huruhusiwi kufanya biashara?
Ndio, ili iruhusiwe kufanya biashara, Kampuni yako inabidi Ipitie hatua hizi Tatu...
Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G
Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari.
Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi.
Ikumbukwe kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.