MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine.
"Malipo...
Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
JOB ADVERTISEMENT
To ALL qualified individuals,
Please see below, the job advertisement under the Business Department.
Job Title: NEO Sales Intern
Position: Twenty (20)
Job Grade: N/A
Reporting to: Regional Business Executive, indirectly to Zonal Business Manager (ZBM)...
JOB ADVERTISEMENT
To ALL qualified individuals,
Please see below, the job advertisement under the Business Department.
Job Title: NEO Sales Intern
Position: Twenty (20)
Job Grade: N/A
Reporting to: Regional Business Executive, indirectly to Zonal Business Manager (ZBM)...
Hii nchi tumepigwa sana unaweza kuta kuna dalali hapa kati kapiga mchongo kachukua tenda na hakuna kitu kama UAE hii nchi tumepigwa left right and center
Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA.
Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
Wana Jamii Forums nawasalimu nyote
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji.
Hii kampuni...
Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo.
Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao.
Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania.
Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate,
zakariamaseke@gmail.com
(0754575246 WhatsApp).
Kiujumla, hatua za kusajili kampuni ya kigeni zinafanana na hatua za...
Habari wakuu. Poleni na majukumu.
Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import.
Clearance...
East Africa News
Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme
=======
Summary
The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires.
The supposed wealth vanished in a matter of hours as they looked on helplessly.
The last message BLQ Football Club...
Na Gianna Amani
Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu.
Huawei ni kampuni kubwa ya teknolojia na mawasiliano nchini China na inazidi kuota mizizi katika...
Wakuu amani,
Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya kuweka mnara wa mawasiliano kijijini hapo.
Tatizo ni kuwa kampuni hilo halitekelezi sehemu yake ya...
Tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali unaozidi kukua kwa kasi, lakini makampuni na mashirika mengi bado hayafahamu ni kwa kiwango gani yanategemea teknolojia ya digitali na changamoto ambazo wanaweza kukumbana nazo. Tunapoelekea katika siku zijazo ambazo tunazidi kuwa tegemezi kwa teknolojia...
Kuna maswali mengi fikirishi juu ya uchipukaji huu wa kampuni za kitapeli (Scam companies) hapa Tanzania. Kampuni hizi ni pyramid/ponzi schemes na zimekuwa zikiwaumiza Watanzania sana, na pesa inayopatikana baada ya kukusanya kwa raia huenda kwenye mzunguko wa pesa nchini isivyo kihalali.
Kwa...
Nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original), naomba msaada wa mawazo tafadhali.
Liwe automatic (maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe), ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU.
Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa...
Habari ya usiku wakuu, nawiwa kushare machache kuhusu mada tajwa hapo juu.
Watu wengi wamekua wakitamani ama kuwa na mpango wa kufungua kampuni inayotoa huduma za ulinzi katika maeneo mbali mbali.
Ni rahisi sana kwani mtu huweza kufanya shughuli hii akiwa binafsi ama kupitia kampuni na mahitaji...