kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Deepal kutoka China wamezindua mpinzani wa Toyota Prado, Tesla Cybertruck na Tesla Model S.

    Ni vita na mapinduzi zaidi kutoka China yanaendelea katika sekta ya magari. Deepal wanekuja na hybrid na EV tatu ambazo zimeletwa mahususi kupambana na SUV, offroad trucks na Executive Sedans. Deepal G318 Hii ni REEV off-road SUV inayokuja na four au two wheel drive, ikiwa na engine ya 1.5L...
  2. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Natafuta junior software developers wa backend na frontend na graphic designers tuunde kampuni

    Wakuu, Mimi ni mtu ninayependa sana technology na nimekuw nikifuatilia sana masuala ya technology. Kwa upande wangu sijasoma course yoyote officially ambayo iko related na masuala ya IT ila mengi nimejifunza mwenyewe kuanzia programming japo siwezi tengeneza kitu chochote cha maana ila najua...
  3. Chief Ortambo Ikumenye

    JamiiForums Tanzania Naomba Kuelimishwa Hichi Kitu Kwenye Kampuni

    Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria. Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan. Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo 1. Ili...
  4. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya solar nzuri zaidi kwa malipo ya awamu

    Habari wakuu Nahitaji solar panel na TV yake, inayofanywa malipo kwa awamu. Nyumba ya Vyumba vitatu piga 0713 039 875
  6. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuanzisha kampuni

    Wakuu nimeliangalia vizur suala la ubunifu kama sehemu ya kufanikiwa kimaisha na kuziona fursa. Kwa kuzingatia changamoto mbalimbali mitaani nina wazo la kufungua kampuni itakayokuwa inajihusisha na mambo yafuatayo 1. Kumtongoza mkeo mara ya pili kuona kama atakubali watu wengine au lah ( @1...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kesi ya usababisha hasara kwenye kampuni inaangukia kwenye kosa gani kisheria?

    Naomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na kupelekwa kufanya kazi kwenye kampuni X). Nimekaa kituo cha police kwa siku 8 naambiwa nimefanya kosa...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

    Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani. Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
  9. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Askari Metals iliyopata kibali uchimbaji wa Urani Dodoma kupitia Eyasi Uranium Project inamilikiwa na nani?

    Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH. Kwa kuanza, kampuni hiyo itafanya utafiti wa sampuli za miamba na geographia kabla ya kuanza uchimbaji...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mikopo ya OYA itakuwa na mwisho mbaya sana kama ilivyokuwa kampuni ya udalali ya MAJEMBE

    Utu ni jambo muhimu sana kwenye huu uumbaji wa Mwenyezi Mungu Kampuni ya mikopo midogomidogo ya OYA si kampuni rafiki na yenye UTU kwa wakopaji wake. Pamoja na kuwa na vibali halali vya kuendesha hiyo biashara lakini matendo ya wafanyakazi wake kwa wakopaji wanaoshindwa kurejesha kwa wakati...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo mtaani zina mapungufu ya kibinadam sawa lakini pia na wateja wao (wakopaji) wengi wahuni tutazame kotekote

    Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara! Nitoe mfano hai! Jeshi la polisi lina...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Je Wajua? kampuni za Adani Group zimewahi kuripotiwa kufanya Ulaghai na kushushwa thamani ya Utajiri wake kwa Dola Trilioni 27.9

    Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Brand tano (5) zilopelekea bidhaa za kampuni nyingine kupewa jina hilo hilo tu, ya kwanza itakushtua, ya tano ya kitanzania

    1. BUKTA Bukta ni kaputura iliyokuwa inatengenezwa na kampuni ya bukta. Matokeo yake hata kaputura za kampuni nyingine nazo zikawa zinaitwa bukta.Watu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni ya Bukta(bukta ni jina la kampuni iko Uingereza inatengeneza nguo za michezo). 2. KIWI Bidhaa...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu katania eti kampuni ya madawa ya Azuma wametokea kupapenda Bongo. Biashara imekuwa nzuri

    Apart from utani wanangu kuweni makini, vaeni mipira.
  16. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kampuni ya ICT services

    Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa...
  17. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

    Millicom International Cellular has finalized the sale of its Tanzanian division, completing its multi-year divestment strategy from Africa to focus exclusively on Latin American markets. The sale of Tigo Tanzania to the pan-African group Axian was first announced in April of last year...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tigo, kuhusu issue ya Lissu mnayo KESI ya kujibu: Someni hapa

    Tigo someni mifano mingi ya kesi zinazohusisha uhalifu, teknolojia, na uwajibikaji wa kampuni ambazo zilishughulikiwa kwa mafanikio. Hapa kuna baadhi ya mifano maarufu: 1. Kesi ya "Blackberry: Katika miaka ya 2010, kampuni ya Blackberry ilihusishwa na kesi kadhaa za uhalifu ambapo taarifa za...
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza...
Back
Top Bottom