kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyabiri

    JamiiForums Tanzania NAUZA KAMPUNI YA ULINZI

    Wakuu habari za majukumu, Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili. Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza kufanya kazi,lakini kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu nimetangaza kuiuza, Hivyo kama kuna...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Habar wakuu ushauri wenu ni guta Gani ya kampuni gani nzuri imara...guta leenye nguvu imara ...nani wakala wa yupi kariakoo ana Bei nzur
  3. Panga la Yesu

    JamiiForums Tanzania Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi? Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo? Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri. Tupo Arusha
  4. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Bei za bati na bati imara ni zipi kutoka kampuni gani?

    Hatarini za majukumu wana JAMIIFORUMS nimeandika uzi huu kuulizia au kujua bati imara na nikampunigani ya kuzalisha bati hapa nchini ina toa bati imara na inayodumu kwa muda mrefu bila kupauka. Kumekuwepo utitiri wa viwanda vingi, hofu ni kwamba uzalishaji wake katika bidhaa zao ni wa mashaka...
  5. husseinbrand

    JamiiForums Tanzania Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Jamani mimi najua kuchora ila nataka kupata kampuni ya kutengeneza katuni kwani napenda kuchora na kujifunza vingine.
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kuzalisha vioo Tanzania yawasha mitambo, itatumia malighafi za Nchini kwa 80%

    Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024. Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya viongozi wa Kampuni pamoja wa Wafanyakazi wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ceramics Co. Ltd, Wayne Zhong...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  8. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Tutaje Kampuni, Taasisi, au Mabosi ambao Wanajali Wafanyakazi

    Kuna uzi humu unaongelea makampuni ambayo hayajari wafanyakazi wake., wengine wananyanyasa kabisa wafanykazi. Upande mwingine kuna makampuni au Taasisi ambazo zinajari wafanyakazi au waajiriwa, nao wanastahiri kutambuliwa na kupewa pongezi hapa JF. Mimi naanza na Boss wa Tronic, kampuni ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Adventure na tikects online

    Ni Jumanne saa 4 asubuhi unahitaji kusafiri siku inayofuata ya Jumatano August 14,2024, ķutoka Mwanza kwenda Kigoma! Unaingia katika mtandao kutafuta usafiri. Jina la kampuni maarufu inayofanya safari zake njia hiyo, linakuja Adventure. Unaamua kufanya Adventure kwa kutumia mabasi yao...
  10. D3F4ULT

    JamiiForums Tanzania Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa natumia mwanzo(samsung s8) kuharibika betri. Lengo la kuandika uzi huu miezi miwili iliyopita nilipata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni za bia hazifanyi urejeleshaji (recycling) ya lebo za bia?

    Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema kwenye chupa. Najiuliza kampuni za bia kwa nini hazizitumii hizi lebo kwa mara ya pili? Maana...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

    ◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT) ◾Haya yanajiri wiki chache tu baada ya Tanzania kukubali kulipa dola milioni 90 kwa kampuni ya Australia kutatua kesi ya usuluhishi...
  13. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

    Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi? Tafadhali sana Karibuni
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya sukari kilombero yawataka wakulima kuchangamkia fursa ya upanuzi wa kiwanda cha k4 katika tamasha la nane nane

    Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro. Siku ya Nane nane ni fursa kwa Kampuni hiyo kutoa elimu na kushirikiana na wakulima kwa kuonesha...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  16. greater than

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

    Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake. na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye. Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Itashangaa "LATRA isipoifungia kampuni ya mabasi ya Shabiby.

    Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika. Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
  18. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Ardhi, huu usajili mlioutoa kwa kwa kampuni ya KMM ni kwa faida ya nani?

    Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, lakini imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa mujibu wa...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ushetani ulioonyeshwa kwenye ufunguzi wa michezo ya Olympic nchini Ufaransa kampuni ya kwanza yajitoa

    C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa. Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga kuhusu "last supper" wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo jijini Paris. Kufuatia tukio hilo kwa aibu...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya HBO ya Marekani kuwalipa wasanii wa Bongo Fleva, Soggy Doggy na Dataz Tsh. Milioni 700

    Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano. Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
Back
Top Bottom