kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Usajili wa majina ya biashara na kampuni BRELA

    Kama unahitaji kusajili kampuni au jina la biashara Kubadili jina la biashara au kampuni n.k. Nitumie ujumbe whatssap au piga simu 0765991551. Nikufanyie mchakato hadi kazi yako ikamilike.
  2. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Nashauri ligi ya NBC iondolewe kwenye kampuni za betting

    Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet. Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo. Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Platinum Credit ni kampuni yenye huduma mbovu na zisizofaa. Walimu tunakopa kwa sababu ya shida tu.

    Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
  4. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS

    Habari Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao. Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Airtel kutuma pesa kwenda kampuni zingine au bank: ‘Unable to fetch , bad details’

    Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’ Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili? @airteltanzania
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kaita kampuni ya mipango miji kupandiwa mawe kaambiwa alipe 1,500,000/=

    Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili). Kupandiwa mawe millions moja na nusu. Kwa maeneo haya Kiluvya (Kibaha) gharama za kiwanja 20x20 ni million...
  7. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kampuni za Kibiashara Zinachangia Mashirika ya Hisani ?

    Kampuni za kibiashara ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa mashirika ya hisani (charity organizations) kwenye utekelezaji wa miradi na program mbalimbali. Utafutaji wa fedha kutoka kwenye kampuni hizi, kitaalamu unajulikana kama “Corporate Fundraising” . Kuna njia mbili za uchangiaji unaofanywa...
  8. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani inatengeneza vitasa vya milango ambavyo ni imara?

    Wakuu nimekua ni muhanga wa vitasa vibovu na feki! Ebu nipeni kampuni bora za vitasa vigumu vya milango.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ntajuaje kampuni ya ukandarasi kama imesajiliwa na board ya ukandarasi

    Habar wakuu nataka kujua Kuna kampuni nataka kufanya nayo kazi ntajuaje hii kampuni imesajiliwa na board ya wakandarasi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Telecome nchini Namibia imeshambuliwa na wadukuzi

    Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa wadukuzi waliiba karibu taarifa 500,000 ikiwa ni pamoja na taarifa binafsi na za kifedha za wizara, maafisa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za kukopeshana online credit companies bado hazijafungwa zote zipo zimebaki na zinasumbua binadamu

    Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

    Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa. sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari . psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
  13. Tempest

    JamiiForums Tanzania Kampuni za usafir za kubeba wafanyakazi (Corporate transport services)

    Habari Kwa anayejua haya makampuni msaada wa kushare contacts, Mfano kuchukua wafanyakazi kila siku kuwarudisha majumbani na muda mwengine kuwaleta kazini, coaster au aina nyingine ya magari yote ni sawa
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) yatangaza mnada , kazi kwenu kuna Range Rover wagon

    Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024. Mnada huo utafanyika katika Jengo la TSN lililopo Mtaa wa Isimani Upanga, Dar es Salaam utahusisha pia pikipiki, vifaa vya TEHAMA...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Hii kampuni nikweli au matapeli?

    Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie lakini baada ya kuwatafuta wapo wanamzungusha tu Badae nimemwambia aachane nao Sasa najiuliza hii...
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

    Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini. Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili. Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote. Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani? Halafuu, hayo...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania KERO Ubabe huu wa Kampuni ya Pepsi unalindwa na serikali?

    Kwa wauzaji wa reja reja wa soda hulazimishwa na Kampuni ya Pepsi, kununua soda wasizotaka kununua wala wasizo na wateja nazo Ili wapewe soda aina ya Pepsi. Huu ubabe wa Kampuni ya Pepsi unakera sana Lakini wauzaji wa soda kwa reja reja hawana ubavu wa kupambana nao. Kwa nini Pepsi walazimishe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa kampuni ya Barrick wakamatwa nchini Mali

    Maafisa wanne wa juu wa kampuni ya Barrick wamekamatwa na serikali ya nchini Mali kwa tuhuma za kampuni hiyo kutokulipa kodi stahiki. Maafisa hao wanashikiliwa tangu Novemba 26 mwaka 2024 na watapelekwa mahakamani iwapo serikali ya kijeshi ya Mali na Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mambo gani hupelekea kampuni kubwa kubadilisha jina mara kwa mara?

    Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)? Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
Back
Top Bottom