kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanaolalamika kulipwa 2USD kwa Saa kuifundisha AI wapo Sawa kutupia lawama Kampuni Husika, au wawalaumu Watunga Sera wao kuwafanya desperate ?

    Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
  2. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi bora inayouza viwanja dar es salaam

    Salaam Mwenye uzoefu na kampuni inayouza viwanja, anisaidie Yapo ninayoyajua ila ujanja mwingi Karibuni
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Manispaa asisitiza wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

    Wakuu, Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza? Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
  5. mzeewangese

    JamiiForums Tanzania Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

    Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania UTATA: Kazi ya kampuni mkataba miaka miwili 50 milioni versus laki 7 serikalini mkataba wa kudumu

    Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini. 👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaoagiza bidhaa kutoka china:- Kampuni ya mapembelo cargo kwa sasa haiaminiki tena

    Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo. Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Isamilo Kampuni ya mabasi ya usafirija ni jipu na kero kwa Abiria yalinikuta Dodoma

    Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
  10. instagram

    JamiiForums Tanzania Raisi wa Marekani anaongea hakuna yale mabango ya kuupiga mwingi wala kampuni ya kuandaa mikutano

  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mbona siku kampuni za vinywaji hamtuwekei zawadi za chini ya kizibo

    zama za usiombe kukutwa na bwana pepsi tumezimiss..siku hizi hata bia hazikai mwezi kiwandani means watu tunakunywa sana sasa kweli mnashindwa kubuni namna ya kurudisha faida kwa jamii kwa kutuweke ka mchezo cha kusaka bonus..muhindi anatukula kwenye betting ilipaswa kidogo mtufariji kwa...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kukataa mikopo ya China inayolazimisha kampuni zao zitujengee?

    Kwa nini Wachina wakitoa mikopo ya miondombinu kwa nchi za Afrika ni lazima kampuni zao zisuhusike katika ujenzi? Kila kwenye miradi mikubwa walipofadhili Wachina unakuta kampuni ya China ndio contractor mkuu, Sasa hii huwa inakuwa na maana gani ukizingatia pesa zenyewe ni za mkopo lazima...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO LATRA: Tahadhari Muhimu kuhusu Mabasi ya Kampuni ya Kimotco

    Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika, Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PEPSI, wamebadili container za sada ya take away?

    Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda. Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki...
  15. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya msimamizi wa kampuni ya mikopo kutokuwa na time management

    Wakuu habari za muda huu ,hope mko poa walio wagonjwa ,wenye huzuni Mwenyezi Mungu awasaidie Hivi karibuni nilipata kazi katika kampuni inayojishughulisha na mikopo mkoa (X) as a guest kwenye hii kazi na mshahara ni 200k per month n+ plus posho kwa mwajiriwa miezi 3 ya mwanzo Lakini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi kampuni za kukopesha zinaruhusiwa kukamata mali za wadaiwa wao? Akina mama wanalia kila kona ya Tanzania.

    Wamama wajasiriamali wanalia kila kona. Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni. Je huu ni utaratibu?
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Juu yasitisha utekelezaji wa Mkataba wa Usambazaji Umeme kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group

    Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Noble Helium yachagua maeneo matatu ya kwanza ya kuchimba kwenye Mradi wake wa North Rukwa

    Noble Helium imetangaza kuchagua maeneo matatu ya kwanza kwa uchimbaji katika Mradi wa North Rukwa ikiwa ni hatua muhimu katika kuchunguza uwepo wa gesi kwenye maeneo yenye kina kifupi. Maeneo haya yaliyochaguliwa ni sehemu ya maeneo 10 ambayo yanaonekana kuwa na potential ya uwepo wa gesi...
  19. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya tigopesa mna matatizo gani

    Kampuni ya mawasiliano Tigo upande wa huduma ya miamala mnatukwaza sana. Nashangaa inakuaje nataka pesa zangu hampatikani. Yaani mnaudhi mnakera
  20. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii

    Wakuu habari za muda huu naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii
Back
Top Bottom