Uchaguzi 2020 Florent Kyombo usiridhike kwa kupiga kampeni ukiwa umepoa jitutumue ili tuichukue Nkenge ibaki CCM

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Ndugu yangu najua utakuwa unapitia nyuzi zangu nikiwa supporter wako mkubwa tangu kura za maoni. Mh hili jimbo la letu la Nkenge ni rahisi sana kuwashinda upinzani maana asilimia 99 ta kata zake ni vijiji.

Mh hoja yangu ni kuwa hawa Wahaya ni waelewa sana na mara nyingi huwa vigeugeu usijiaminishe kuwa pale Kitobo ulipozaliwa ndo utazoa kura maana Waziba tabia zao unazifahamu, jana umepiga kampeni kwa kupoa sana huku muda mwingi watu pembeni wakilalamika kuwa umepoa tofauti na mgombea wa CHADEMA.

Sasa nakushauri ongeza munkari kidogo ili tuchukue jimbo bla jasho maana naskia wale akina wagombea uliowashnda ndani ya CCM wanakusnitch underground
 
Hayo ni Majimbo mkuu Kati ya mengine ambayo yamekua nyuma Sana tangu miaka na miaka chini ya wabunge wa CCM, ilo Jimbo wananchi mnahitaji kuchagua chadema angalau kubadilisha upepo yahani Kila miaka inavyo enda Jimbo linarudi nyuma kimaendeleo kwa speed ya 5G , nalijiua hili Jimbo nimewai fanya kazi na shirika flani huko,
 
Sasa nakushauri ongeza munkari kidogo ili tuchukue jimbo bla jasho maana naskia wale akina wagombea uliowashnda ndani ya CCM wanakusnitch underground
Eti aongeze nini? Kwani munkari huwa unaigizwa? Huyo hawezi siasa anajilazikisha tu na safari Margaritha Mugyabuso anampapasa makalio hadharani!
 
Eti aongeze nini? Kwani munkari huwa unaigizwa? Huyo hawezi siasa anajilazikisha tu na safari Margaritha Mugyabuso anampapasa makalio hadharani!
mkuu ukumbuke sijaja na tusi wala karipio sasa mbona unanijia juu
 
Hayo ni majimbo mkuu Kati ya mengine ambayo yamekua nyuma Sana tangu miaka na miaka chini ya wabunge wa ccm ,ilo Jimbo wananchi mnahitaji kuchagua chadema angalau kubadilisha upepo yahani Kila miaka inavyo enda Jimbo linarudi nyuma kimaendeleo kwa speed ya 5G , nalijiua hili Jimbo nimewai fanya kazi na shirika flani huko,
Mgombea wa chadema ni nani huko nimpe mbinu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom