Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.
Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?
Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.
Agosti 25, 2020
M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
chadema
eneo
jeshi
jeshi la polisi
kampeni
lissu
lisu
machozi
nyamongo
polisi
risasi
serengeti
serikali
tanzania
tarime
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
vijana
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.
Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya...
Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya...
Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye...
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote...
Mwaka 1957 chama cha TANU kilishaonekana ni tishio kwa serikali. Serikali ikaanza kukabiliana nacho.
Serikali ikasema kwamba Rais wa TANU yaani Julius Nyerere anatukana viongozi wa serikali. Hivyo chama cha TANU ni chama cha wakorofi kinachovunja amani ya nchi.
Hivyo Serikali ikaanza kufunga...
Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport.
Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini...
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na...
Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa.
Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea.
Naumia pale...
Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .
Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
=========
UPDATES 1...
Habari wakuu,
Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki.
Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini.
CCM huwa wana mpangilio wa kampeni zake kwa miaka yote, huko nyuma imekuwa cha kushangaza kuna...
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Serikali imekanusha...
Wagombea wa ccm kwa tiketi ya Urais na Ubunge wamekua wakienda kinyume na ratiba ya UCHAGUZI kwa kutokuwepo eneo la kampeni kwa siku tajwa. Je, kwa kufanya hivi wanavunja sheria au wanaweza kwenda maeneo hayo pale wanapojisikia?