kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

    Nimetafakari. Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter. Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kukataliwa kwa CCM kwenye mikutano kusimamisha shughuli za kampeni nchini

    Tume ya uchaguzi mnashindwa kujitenga na chama Cha mapinduzi. Mliaanza kuwapa ushindi wa mezani, mkamaliza mkawasimamisha wagombea wa udiwani na Ubunge kufanya kampeni lakini homa ikazidi kuongezeka. Magufuli baada ya kufanya kampeni siku mbili Iringa,Songwe na Mbeya akagonga mwamba akaona...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: CHADEMA isitishe kampeni Karatu, hakuna haja tena, pesa inayotumika ipelekwe majimbo mengine

    Hili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo kwenye jimbo hilo hata kabla ya kupiga kura , hakuna namna yoyote ya watu wa jimbo hili kukengeuka .
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 HAKI ITATENDEKA ni Neno gumu sana kutamkwa na wagombea ngazi zote kwenye kampeni

    Kuna neno gumu sana kutamkwa na wagombea wa vyama wakiwa wanafanya kampeni, Kama wewe unaamini neno hili ni rahisi kutamkwa comment hapo chini kwa kuandika HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU ukimalizia na jina la chama chako mfano " HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

    Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar. Wote mnakaribishwa. Maendeleo hayana vyama!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Amani Abeid Karume huwa hatumiki kwenye kampeni za CCM Zanzibar?

    Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Naomba kujua ratiba ya kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kesho tarehe 4/10/2020

    Tunajua ratiba ya kampeni zake ina-resume kesho tarehe 4/10/2020.... Aidha kuna hizi "tetesi" kuwa, kampeni zake ziko suspended kwa siku 7 hadi tarehe 9/10/2020 kama adhabu ya "kikiuka sheria za mchezo".... Upande wa pili, amekataa kuutambua uamuzi huo kwa sababu ni " batili kisheria" na kwa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

    Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji. Wengine wanapiga dua, Polepole yuko busy na simu
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

    Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika ...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Live - Mkutano wa Kampeni za Urais wa Dk. Magufuli akiwa Unguja leo

    TV zote zinaonyesha pia angalia hapa
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

    Mambo aliyoyaongea Amesema anaendelea vizuri na kampeni zake, wanasema anakosea kwa kuwa anaongea ukweli lakini kwa sababu anayoyaongea ni ya ukweli anashindwa kuitwa kwenye maeneo ya kumuuliza kuhusu anayoyaongea Aidha mtangazaji aliuliza kuhusu uchaguzi kuwa huru na haki kutokana na mfumo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Nimefurahi sana Mke wa Lissu yuko vizuri mno kunadi CHADEMA kuliko mumewe Lisu, Chadema mpeni aongoze kampeni

    Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera. Kwanza katulia hasa HIGHLY COMPOSED. Hana jazba na ana pointi Huyu ndie CHADEMA wangemchagua ugombea uraisi. Ni vizuri wampe kazi ya kuongoza kampeni kwenye kuhutubia yeye ndie awe...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

    Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona. Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia. Kila mtu anaona injustice inayotokea. Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    Salaam Wakuu, Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta. Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta. Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni ====== UPDATES: 16:54HRS...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi. ============ Leo tarehe 02 Oktoba 2020 kamati ya maadili ya Kitaifa imesikiliza malalamiko dhidi ya Mgombea wa kiti cha Rais...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli awasili Zanzibar kwa kampeni za kishindo, aahidi kuwanadi wagombea wote wa CCM

    Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata. Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka msikitini. Dkt. Magufuli amesema atawafanyia kampeni wagombea wote wa CCM huko Zanzibar. Source...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

    Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CHADEMA hawakemei na kulaani vurugu na mauaji kipindi hiki cha kampeni?

    Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani. Mauaji pia yametokea Tunduma kijana akipigwa tofali hakuna tamko la Chadema. Watu wamekatwa mapanga msikitini Zanzibar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…