Uchaguzi 2020 HAKI ITATENDEKA ni Neno gumu sana kutamkwa na wagombea ngazi zote kwenye kampeni

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Kuna neno gumu sana kutamkwa na wagombea wa vyama wakiwa wanafanya kampeni, Kama wewe unaamini neno hili ni rahisi kutamkwa comment hapo chini kwa kuandika HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU ukimalizia na jina la chama chako mfano " HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU- Nccr Mageuzi.

Tuone wenye mapenzi mema na nchi yao na watakuwa mabalozi wa amani hapa nchini

Twende kazi.
 
Kuna neno gumu sana kutamkwa na wagombea wa vyama wakiwa wanafanya kampeni, Kama ww unaamini neno hili ni rahisi kutamkwa comment hapo chini kwa kuandika HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU ukimalizia na jina la chama chako mfano " HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU- Nccr Mageuzi.

Tuone wenye mapenzi mema na nchi yao na watakuwa mabalozi wa Amani hapa nchini

Twende kazi.
Huwezi kamwe ukasubiri utendewe haki na tume ya CCM wakati wewe ni mpinzani, watanzania tuache ujinga huu!
 
Neno gumu zaidi kutamkwa kwenye kampeni na wagombea hasa wa nafasi ya Urais ni "Nikishindwa kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki nitakubali matokeo na kumpongeza mshindi"
Mbona Lisu alisema akishindwa kwa haki atakua wa kwanza kukubali matokeo? su mpka waliandikie bango?
 
Mbona Lisu alisema akishindwa kwa haki atakua wa kwanza kukubali matokeo? su mpka waliandikie bango?
Ni kweli Mkuu, Lisu katamka hivyo kwa kinywa kipana kabisa. Lakini kwenye uchaguzi huu kuna wagombea 15. Hatujasikia kauli kama hiyo kutoka kwa wagombea wengine. Hiyo ndio ilikua maana yangu Kiongozi wangu
 
Back
Top Bottom