kali

  1. Mechi Kali za Kutizama Wiki hii ni Simba vs Namungo na Simba vs Azam nyinginezo tayari Biashara imeshafanyika

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
  2. Ile harufu Kali ya Kinyesi iliyoko usawa wa Hostels za Magufuli za UDSM na TCRA kwanini haitafutiwi Ufumbuzi?

    Kwa Wapanda DalaDala ( Bayankata ) Wenzangu najua hapa watakuwa Wananielewa sana tu. Ni harufu ya Kinyesi ( na inaonyesha kuna Shimo Taka ) ama la Magufuli Hostels au za TCRA limejaa hivyo linatema na kuwa Kero katika Pua zetu. Tafadhali Mamlaka ifanyie Kazi hili.
  3. Kali kutoka AM Records

    KALI KUTOKA AM RECORDS Hapa kuna majina mawili; MANECKY na BOB MAKNECKY na hizi ndizo kazi kali kutoka AM RECORDS; 1. NIMEDATA - JUX 2. NAPATA RAHA- JUX 3. NITASUBIRI - JUX 4. UTANIUA - JUX 5. SISIKII - JUX 6. UZURI WAKO - JUX 7. NIWE NAWE - JUX 8. UZURI WAKO- JUX 9. NIKUITE NANI- JUX 10. KALAMU...
  4. M

    Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  5. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  6. Huwa napata hisia kali kama vile nilishawahi kuishi huko zamani sana

    Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
  7. Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  8. Bunge la Iran lapendekeza adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake

    Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
  9. Mashairi maalulum kwa pisi kali ambazo tabia ni F na tamaa zimewameza

    Ukimuona utadhani malaika/ Kwa jinsi alivyo umbika/ Jicho la kulainika/ Kiuno kimebinuka/ Tumbo limefutika/ Mpodo umejazika/ Sauti yake tamu hakika/ Yaani mtoto kakamilika/ Ana haiba ya kutukuka/ Na msafi mithili ya paka/ Ni mrembo alopambika/ Na anavutia kwa kila rika/ Ukimuona...
  10. U

    Amapiano kali zaidi kuwahi kutokea Bongo hii (Top 5)

    Nimejiridhisha na kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa Tanzania 1. Single Again - Harmonize 2. Mama Amina - Mario 3. Ticha- Harmonize 4. Shetani - Marimboso 5. Anajikosha - Harmonize
  11. Pisi kali ina-date na jamaa inayokata gogo mtoni

    Duniani kunamambo ~ dito voice Kweli dunia inamambo tena toka kitambo. Pisi inayojiita kali ina-date na shamba boi kutoka Muleba, njemba haikijui choo. Haja zote inamaliza mtoni yani tiiiiiiiiiii.............. then pwaaaaah ndani ya maji ya mto. Swali kwenu wadada wa Jf, je unaweza date na...
  12. Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

    Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania. Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
  13. Nitoe tahadhari kwa mnaotaka kununua simu za Sony Xperia Z1, Ni bei rahisi kamera kali ila utajuta kwenye Network.

    Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!! ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
  14. R

    HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

    Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali. Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
  15. CCM yatoa onyo kali kwa viongozi wastaafu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama. Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
  16. Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

    Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi. Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au...
  17. Kali ya Mwaka 2023! Huduma kwa Wateja Tanesco haiko hewani

    Naishi Tabata Chang:eek:mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?
  18. Live chat na pisi kali

    Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc ili tujifunze na kuchekana pia .. Mi naanza kwa kushare screenshots zangu...nanyi tiririkeni
  19. Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

    Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake. Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
  20. USHAURI: Kuna haja ya kuweka sheria kali za ushoga kama Uganda kunusuru vizazi vyetu

    Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…