kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kagera: Maandalizi ya Wiki ya Maandamano ya Amani yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba ile wiki ya Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA yatakayofanyika Dunia nzima , kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania pamoja na Sheria mbovu na Duni sana za Uchaguzi zilizosainiwa na Rais Samia , huku akijua kwamba Sheria hizo ni Hatarishi na...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?

    Wakuu kwema? Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba wanatuona manyani tu (Tanzania yetu) walivyotaabishwa, akina Mbowe chama chao kimekuwa na nenda rudi za...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
  4. JamiiForums Tanzania CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
  6. JamiiForums Tanzania Kagera: Mwanafunzi auawa, mwili watupwa kichakani

    Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Kilima wilayani Bukokaa, Elius antony(13), anadaiwa kuuawa kwa kukatwa na panga shingoni kisha mwili wake kutupwa kichakani. Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera Blasius Chitanda, amesema uchunguzi unaendelea kubain chanzo cha mauaji hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Benaco Ngara Kagera

    Kichwa cha habari cha husika! Hamna vigezo awe tu binadamu
  8. JamiiForums Tanzania Kitu gani bei rahisi naweza kurudi nacho jijini kutoka mkoa wa Kagera?

    Wataalam wa huu mkoa wa Kagera ni kitu gani bei rahisi naweza kurudi nacho jijini? Nipeni ABC
  9. JamiiForums Tanzania Kasi ya ongezeko la wajane yashtua, Kagera yaongoza

    PICHA: MTANDAO Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wajane wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima wakati akizindua chama hicho tawi la Dar es Salaam. WAJANE wanaongezeka kwa kasi nchini, Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT)...
  10. JamiiForums Tanzania Gration Mukoba achaguliwa kuwa Mwenyeiti mpya wa CHADEMA Kagera

    Rais wa Chama cha Walimu Mstaafu ndg Gration Mukoba amechaguliwa kuwa mwenyejkiti wa chadema mkoa wa Kagera ambapo amepata kura za ndiyo 58 na 5 za hapana. Msimaizi wa uchaguzi ni John Mrema na Wenje unaweza kutazama utangazaji wa matokeo hapa chini katika matngazo ambayo ni live
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  12. JamiiForums Tanzania Kagera: Afisa Manunuzi Muleba ashtakiwa kwa Manunuzi Hewa

    Machi 15, 2024 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 3/2024. Kesi hii ni Jamhuri dhidi ya Bw. Masanja Igolola Afisa Manunuzi VETA, Ndorage pamoja na Denis Rwegalulila Mzabuni. Walishtakiwa kwa kosa la Hongo katika Manunuzi ambapo...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta ardhi ya kuanzisha Biashara ya Wanyama (Ranchi), mkoa wa Kagera na Tabora

    Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa. Mwenye taarifa za kutosha au mawazo juu ya upatikanaji wa hayo mashamba, pamoja, tricks na ushauri, wanakaribishwa sana...
  14. JamiiForums Tanzania RC Mwassa Asisitiza Wanufaika Kutendewa Haki - TCRS Wazindua Mradi wa Kusaidia Walioathiriwa na Mvua Kagera

    RC MWASSA ASISITIZA WANUFAIKA KUTENDEWA HAKI - TCRS WAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WALIOTHIRIWA NA MVUA KAGERA Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezindua mradi wa kusaidia kaya 482 zilizoathiriwa na Mvua kubwa iliyonyesha Mwaka jana ikiamabatana na upepo mkali na kusababisha maafa makubwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mnapenda kuujumu mkoa wa Kagera?

    Katika takwimu zote za miaka yote ya makusanyo ya TRA, mkoa wa kagera ni miongoni mwa mikoa iliyojuu katika kuchangia pato la taifa. Kwa report ya hivi karibuni ya TRA, mkoa wa Kagera katika uchangiaji wa pato la taifa imeshika nafasi ya 9. Sasa linapokuja suala la kugawanya pato la taifa kwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba

    BUKOBA MANISPAA KAGERA ,TANZANIA Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini. Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu BAKWATA Kagera akatwa mkono, mkataji auawa kwa kipigo

    Mkazi wa Muleba mkoani Kagera, Abdulmalick Yahya (42) ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi, baada ya kuonekana akimshambulia kwa panga Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Kagera, Hamza Zacharia (43). Kutokana na tukio hilo, Zacharia anauguza majeraha katika Hospitali ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Karamagi amesema Chama Cha Mapinduzi kitaisimamia Serikali kuhakikisha inaendelea kuboresha na kuweka Mazingira wezeshi kwa Wawekezaji

    CCM YAENDELEA KUVUTIA WAWEKEZAJI MKOA KAGERA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera, ndugu Nazir M. Karamagi amesema Chama Cha Mapinduzi kitaisimamia Serikali kuhakikisha inaendelea kuboresha na kuweka Mazingira wezeshi kwa Wawekezaji ambao wana mchango mkubwa katika maendeleo kwa...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

    ⚽️ Kagera Sugar Vs Young Africans SC 📆 02.02.2024 🏟 Kaitaba 🕖 10:00 Jioni Mungu ibariki Yanga SC Kikosi cha Yanga SC Dakika ya 1 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 17 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 31 Kagera Sugar 0-0 Yanga. 𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague Kagera Sugar 0-0 Young...
  20. JamiiForums Tanzania UVCCM Kagera watoa tamko kuhusu Taarifa ya Sintofahamu iliyotolewa na Emeltha Kente yenye Ujumbe Maalum kwa Rais Samia

    Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo wakatumikie familia zao, wavuvi wavue kwa kutumia kokoro kwa nchi 4 hadi 5 na siyo nchi 6 kama ilivyo sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…