FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,525
10,765
20231215_010629.jpg

Match Day.
Simba Vs Kagera Sugar
Time 1600.
15.12.2023.
Uhuru Stadium.

All The Best Mnyama.
#nguvumoja#

20231215_152354.jpg
 
Hakuna uwanja ambao siuelewi kama uhuru stadium hua hatuko confortable kabisa kwenye ile pitch hua tuna struggle sana, sijui kwanini Simba hakuchagua Azam Complex!!!
Wakati wa ujana wangu nilipiga magwaride mengi sana pale "Uwanja wa Taifa" (wakati huo) mbele ya Nyerere. Ndio Uwanja uliokuwa na viti vingi sana kuliko kiwanja chochote Tanzania. Hata Uwanja wa Karume ulikuwa bado sana.
 
Hakuna uwanja ambao siuelewi kama uhuru stadium hua hatuko confortable kabisa kwenye ile pitch hua tuna struggle sana, sijui kwanini Simba hakuchagua Azam Complex!!!
Tulikuwa tuna struggle mwanzoni kwa sababu ya aina ya uchezaji.

Kwasasa tutampiga yeyote ndani ya ligi bila kujali ni wapi na muda gani
Reserve this.
 
Back
Top Bottom