Kinana: Kagera Maprofesa 666 ila mapato kiduchu

Kindeena

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
9,067
15,816
KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.

“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.

-
1702310936741.jpg

#HabarileoUPDATES
 
-View attachment 2839736

#HabarileoUPDATES
Kupata mapato hutegemea na biashara Bukoba wanategemea kilimo sana
 
KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.

“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.
-View attachment 2839736

#HabarileoUPDATES
Huyu sasa anatafuta ugomvi mkubwa na akina "Nshomile."
 
Biashara nyingi zinafanyika kienyeji sana,ni lazima baadhi ya biashara ndogo ndogo zilasimishwe ili kodi ipatikane.

Hata hivyo ni Mkoa ambao katika watu 10,watu wanne hawana vitambulisho vya Taifa hivyo kuwazuia wenye fursa ndogo ndogo za biashara kutambulika kwenye mifumo ya Kibenki katika kuweka akiba na kupata mikopo.
Rasilimali nyingi za mazao ya uvuvi bado zinatoka nje ya Mkoa kwa kukosekana wawekezaji.

Kutokuwepo hao Maprofessa kwani wengi wao wanaishi nje ya Mkoa na hata nje ya Nchi. Kukosekana kwa Umoja,kwa kuwa hata wao ndani ya Mkoa wanabaguana kwamba huyu ni Mziba na yule ni Mnyambo lakini yule ni mganda Kyaka...

Kwa kuwa tayari wanaKagera wamefahamu madhaifu yao natumaini ndani ya miaka si mingi Mkoa utawashangaza wengi...
 
KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.

“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.

#HabarileoUPDATES
Tangu lini white color jobs zikazalisha wazalisha Mali tofauti na wezi wa kalamu na wavivu?
 
Hizo mikoa zinazochangia zaidi zinafaidika na michango yao?
Ndio maana napinga kabisa mfumo wa Utawala uliopo Kwa sababu hakuna maana wengine mvuje jasho harafu wafaidi wengine.

Mfano mzuri ni Mbeya,Ina GDP namba 3 Tanzania lakini Haina miundombinu inayofanana na jasho ambalo watu wake wanatoa,badala yake pesa zetu zinajengwa Dar,Dodoma,Arusha,Tanga na Mwanza.
 
Si mnapinga utawala wa majimbo?

Ni uhuni kwakweli ...

Manispaa kama kahama wanasifika kwa kuchangia tu

Wao hawapati chochote in return...
 
Huyu naye ni mbumbu wa uchumi.
Tumuulize yeye serikali ya CCM imejenga viwanda vingapi, vyuo vingapi, kwa nini wanazuia mkulima wa kahawa asiuze Uganda wenye Bei nzuri.
Ukiona Dar, waliojenga uchumi siyo wazaramo.
Wawekezaji wanawekeza kulingana na mazingira mazuri yaliyoandaliwa na serikali
 
Back
Top Bottom