kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  2. JamiiForums Tanzania Je unalifahamu kaburi la vyombo vya anga ya mbali?

    Katika Bahari ya Pasifiki Kusini kuna makaburi ya mamia ya vyombo vya angani vilivyoanguka. Sehemu hiyo inajulikana kama "Point Nemo" kwa lugha ya Kilatini ikimaanisha "Hakuna Mtu" au "No One" yenye kina karibu kilomita 4 kwenda chini ya bahari. 'Point Nemo' ni eneo ambalo lipo mbali na ardhi...
  3. JamiiForums Tanzania Safari ya Mwisho Kuliendea Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/-SGlpOTy4pA?si=Mxbk6h2zHWYZpzLh
  4. JamiiForums Tanzania Haji Mohamed Nundu Anaeleza Alivyojenga Nyumba Yake Juu ya Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/YCy-vx00WOs?si=a8YH5FeZXMa2bgvy
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko. Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena azuru kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kesi ya jamaa aliyezikwa kwenye site ya kaburi langu

    Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana, Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule kijijini. Siku zote alikuwa akisema akifa azikwe hukuhuku mjini,manispaa ya ubungo kuanzia kimara mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Police Mliyofanya Mbeya/ Iringa Ndio Kaburi la CCM?

    Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo. Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
  9. JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi azuru kwenye kaburi la Hayati Benjamin Mkapa Lupaso

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu . "Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake...
  10. JamiiForums Tanzania Safari Yangu Pangani Kutafuta Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith

    Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion." Walioandika historia hii waliwaona Abushiri bin Salim, Abdulrauf Songea Mbano na Bi. Khadija Mkomanile, Mtwa Abdallah Mkwawa kwa kutoa mfano...
  11. JamiiForums Tanzania Maajabu kuhusu Kaburi la Abushiri

    Hakuna kitu kinachomweka Mtafiti katika hali ngumu kama pale anapoelezwa miujiza katika utafiti wake. Hapa anakuwa katatazika kwa sababu mafunzo yake hayajamtayarisha katika hilo. Mtafiti yoyote anakuwa hana shida pale anapoangalia utafiti kwa jicho lake na kuona mabadiliko ya anachokitafiti...
  12. JamiiForums Tanzania Hili la kuliwa hela za Halmashauri halikuanza leo ndio kaburi la hela za mikopo

    Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo kidogo , Chini ya uongozi wa ccm hakuna mwaka hawa wanaokula hela hizi watashitakiwa
  13. JamiiForums Tanzania Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

    Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5 Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo pia linapaswa kuitwa ni kaburi la sheria walizojiwekea binadamu. Uchaguzi wake wa jina hilo bila...
  14. JamiiForums Tanzania Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti. Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya. Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo. Huyu Saba Sita...
  15. JamiiForums Tanzania Mvutano wa NHIF na watoa huduma za afya ni kaburi la afya za Watanzania wengi

    Hizi heka heka za mivutano baina ya serikali kupitia NHIF na watoa huduma za afya wa vituo binafsi sio jambo lenye kheri, mwisho wake utakuwa mbaya sana. Haijarishi nani ataibuka mshindi lakini mwisho wa siku afya za watanzania zinakwenda kupuputika vibaya. Ni kweli NHIF inazilipa fedha nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Maranja Masese atembelea kaburi la Lowassa. Akutana na familia

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli. Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team...
  17. JamiiForums Tanzania Makonda azuru kaburi la Benjamin Mkapa

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amezuru kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara. Mwenezi Makonda aliyesitisha ziara yake Mkoa wa Ruvuma na Mtwara kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward...
  18. JamiiForums Tanzania Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  19. JamiiForums Tanzania Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen. ====== 🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister...
  20. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…