kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

    Scenario Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri". Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?" Flash back Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao. Lakini...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakicheza karata zao vizuri watafufuka kabla ya na kurudi kwenye ubora.

    Nawaamuru wafuasi wa CHADEMA msome kwa makini sana huu uzi na muufanyie kazi. Hivi karibuni kama mmefuatilia mwenendo wa kisiasa hapa nchini inaonyesha CHADEMA (Chama cha Mbowe) hakina matatizo mengi sana na wala watu wengi hawana ubaya nacho. Na pia inaonekana CHADEMA hawana visasi na watu...
  3. JamiiForums Tanzania Eti kabla hujaomba zabuni kupitia mfumo wa GPSA ni lazima ujisajili kama mzabuni kwa taasisi unayoomba zabuni?

    Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS. Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika. Hivi hii kitu imekaaje? Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Masanja Mkandamizaji afunguka, masaa machache kabla ya uzinduzi wa The Royal Tour

  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kabla ya Saa 7 Kamili Mchana leo mniambie mnataka Kocha Pablo aanze na Kikosi kipi Kati ya hivi Viwili viifuatavyo?

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Henock Inonga 6. Jonas Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Bernard Morrison Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Pascal Wawa 5. Henock...
  6. JamiiForums Tanzania Ukristo unasema mwanamke anakuheshimu kabla ya ndoa ila ukishamuoa hufungua makucha yake. Dini (sio maandiko) imekataza kuongeza mke

    Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa. Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa kukuingiza kwenye mtego wa ndoa, hapo kwenye ndoa ukishanasa ndio umefunga rasmi geti la ushindani...
  7. JamiiForums Tanzania Wahaya walikuwa wanaunda high quality steel hata kabla ya mzungu

    Leo nilikuwa natazama teknolojia zilizopotea za kale kama vile zege la waroma ambalo lilikuwa likizidi imarika zaidi kila muda unavyopita likiwa kwenye maji ya chumvi. Basi katika hiyo video jamaa akaomgelea kuhusu steel ya wahaya. Utengenezaji wa steel wa kisasa uligunduliwa mwaka 1847...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Meli ya kivita ya Urusi ilivyochanganywa na Drones za Mturuki kabla ya kulipuliwa na kuzama

    Mzuka wanajamvi! Fahari ya Urusi katika black sea jinsi inavyojulikana iyo Meli manowari iliyopachikwa jina la Moskva au Moscow mji mkuu wa urusi ilivyolipuliwa na kuzamishwa katika operesheni ya aina yake kutoka kwa 'Defenders' makomandoo wa Ukraine waliotumia ujanja wa aina yake. Ni hivi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

    Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani. Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini kuwekeza kwenye Ardhi usiyo ijua?

    Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
  11. JamiiForums Tanzania Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

    Kwema Wakuu! Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake. Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuweka Records Sawa: Utaratibu alioupendekeza Shabiby ndio uliokuwepo kabla, Haufai

    Wakuu Kwema? Mimi kwa kiasi fulani ni mdau wa mafuta, kwani hapo kabla miaka ya nyuma nilishawahi kufanya kazi katika kampuni ya mafuta Kwa kama miaka kadhaa Hivi Hivi karibuni Mbunge wa Gairo Bw. Ahmed Abdallah Shabiby amependekeza kua ili Bei ya mafuta iweze kushuka basi Serikali iruhusu...
  13. JamiiForums Tanzania Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  14. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yatakayotokea kabla ya New World Order. Vipi umejiandaaje?

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo Wachambuzi wanaamini yatatokea kabla ya NEW WORLD ORDER. 1. Ubadilishwaji wa katiba nyingi Duniani kuendana na mfumo mpya wa utawala Duniani. 2. Upandaji wa bei za bidhaa muhimu 3. Mabadiliko katika sarafu( mfumo wa manunuzi Duniani kote) 4. Uwepo wa Dini mmoja...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

    Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi. Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2025 Rais Samia atasema Uchaguzi wa 2020 haukuwa huru

    Raisi Samia na Watanzania wengi wanajua huu ukweli kwamba uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na wa haki. Hivyo kabla ya uchaguzi wa 2025 Raisi atafanya kila jitihada kueleza huu ukweli kwasababu zifuatazo 1. Kutoa dhana ya uongo kwa wananchi walioamini Magu alipata 80% . Wote tunajua hii sio...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

    Mabeberu wenyewe wamekiri kwa mujibu wa CNN ambacho ni chombo Cha mabeberu kuwa thamani ya Rouble imepanda ghafla baada ya Putin kusisitiza kuwa kuanzia 01/04/2022 Kila Nchi inayohitaji gesi ya Urusi ITALAZIMIKA kufungua akaunti ya Rouble itakayotumika kulipia manunuzi ya gesi!! Asiyetaka aache...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Wasalam! Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi. Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake. Muda haukuwa mrefu aliomba kurudi kwangu kienyeji enyeji ila hali swala lilishafika kanisani...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafanikiwa vita dhidi ya malaria kabla ya 2023, huku China ikitoa mchango katika uvumbuzi wa Artemisinin

    Pili Mwinyi Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…